Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usumbufu wa malori Dar kuwa historia

>Mkuu  wa  Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamanda Mohamed Mpinga amesema kikosi hicho kipo kwenye mkakati maalumu wa kuondokana na kero ya malori yanayoegeshwa ovyo katika maeneo ya hifadhi ya barabara jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Tatizo la umeme Dar kuwa historia

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesisitiza kwamba ifikapo Agosti mwakani, hakutakuwa na tatizo la umeme katika Jiji la Dar es Salaam. Pia, limesema taasisi ambazo zilikuwa miongoni mwa wadaiwa sugu, zimeendelea kulipa na kulifanya liendelee vizuri.

 

11 years ago

Michuzi

uhaba wa maji ya uhakika dar es salaam kuwa historia karibuni

Tatizo la muda mrefu la uhaba wa maji ya uhakika linalowakabili wakaazi wa mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mengine inayohudumiwa na mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini sasa litakuwa historia...  Mafundi wakiendelea kulaza mabomba yatakayotumika kusafirishia maji kutoka Mitambo ya Maji ya Ruvu Chini mpaka kwenye Tanki la kuhifadhia maji lililopo Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa mafundi hao wameshasambaza mabomba kwa umbali wa kilomita takribani 29 kati ya...

 

9 years ago

Bongo Movies

Uzushi Kuwa Irene Uwoya Amefariki Wasababisha Usumbufu Mkubwa Kwenye Familia

Taarifa za uzushi zilizoandikwa jana kwenye Facebook kuwa muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amefariki, zinadaiwa kusababisha usumbufu mkubwa kwenye familia yake.

Uzushi huo umekanushwa na kulaaniwa vikali na muigizaji mwenzake, Jacob Stephen aka JB.

“Ndugu zangu jana kupitia akaunti feki ya facebook kuna mtu alitoa picha yangu nikilia na kusema Irene Uwoya amefariki,” ameandika JB kwenye Instagram.

“Habari hii ya uongo ilileta shida kubwa katika familia yake na watu wa karibu. Leo tena...

 

9 years ago

Bongo5

Uzushi kuwa Irene Uwoya amefariki wadaiwa kusababisha usumbufu mkubwa kwenye familia

Taarifa za uzushi zilizoandikwa jana kwenye Facebook kuwa muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amefariki, zinadaiwa kusababisha usumbufu mkubwa kwenye familia yake. Uzushi huo umekanushwa na kulaaniwa vikali na muigizaji mwenzake, Jacob Stephen aka JB. “Ndugu zangu jana kupitia akaunti feki ya facebook kuna mtu alitoa picha yangu nikilia na kusema Irene Uwoya amefariki,” ameandika JB […]

 

10 years ago

Habarileo

Dawa ya malori Dar yaja

SERIKALI imekiri kuwa magari makubwa ya mizigo ndio yanayoharibu zaidi barabara katika maeneo mbalimbali nchini, hususan Dar es Salaam, hivyo, kuahidi kufufua reli kuzuia uharibifu usiendelee.

 

10 years ago

Habarileo

Mgomo wa mabasi kuwa historia

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul MakondaMGOMO wa madereva wa mabasi yaendayo mikoani, daladala na malori huenda usitokee tena nchini na hivyo kubaki kuwa suala la kihistoria.

 

11 years ago

Habarileo

Malaria Zanzibar kuwa historia

Waziri wa Afya Zanzibar, Juma Duni HajiWIZARA ya Afya Zanzibar, imezindua ugawaji wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha ugonjwa wa malaria unatokomezwa Zanzibar.

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Habarileo

Magufuli afikiria kuondoa malori Dar es Salaam

Malori ya mizigo na mafuta yakiwa kwenye msururu kwenye Barabara ya Mandela, eneo la Tazara, Dar es Salaam jana. Serikali ipo mbioni kuhamishia malori yote eneo la Ruvu ili kupunguza msongamano jijini. (Picha na Fadhili Akida).WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema anafikiria namna ya kuondoa malori ya mizigo katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza tatizo la foleni na kuzuia uharibifu wa barabara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani