Dawa ya malori Dar yaja
SERIKALI imekiri kuwa magari makubwa ya mizigo ndio yanayoharibu zaidi barabara katika maeneo mbalimbali nchini, hususan Dar es Salaam, hivyo, kuahidi kufufua reli kuzuia uharibifu usiendelee.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Dawa ya wezi wa pembejeo yaja
HATIMAYE dawa ya kukomesha mawakala wabadhirifu wa pembejeo za kilimo nchini imekamilika kwa kutungwa sheria ya pembejeo nchini. Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Usambazaji wa Pembejeo za Kilimo kutoka Wizara...
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Dawa migogoro ya wakulima, wafugaji yaja
SERIKALI inatarajia kufanya kampeni maalumu ya kitaifa itakayoshirikisha taasisi za kiserikali kuanzia ngazi ya kijiji hadi taifa, ili kupata suluhu ya migogoro ya wakulima na wafugaji inayozidi kushika kasi nchini....
10 years ago
Habarileo08 Nov
Sheria mpya kudhibiti dawa za kulevya yaja
SERIKALI imetunga Sheria mpya kali zaidi itakayoondoa changamoto zilizokuwa zikijitokeza wakati wa matumizi ya Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya Dawa za Kulevya Namba 9 ya mwaka 1995 inayotumika sasa.
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Usumbufu wa malori Dar kuwa historia
11 years ago
Michuzi24 May
10 years ago
Habarileo14 Aug
Magufuli afikiria kuondoa malori Dar es Salaam
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema anafikiria namna ya kuondoa malori ya mizigo katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza tatizo la foleni na kuzuia uharibifu wa barabara.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2LKyJkIyR4aJ7FiZuE3UMDuvli7XlSEEvUTRgWQ97B49y7MjKKfhmfj*h*bDlI3sFckgzUjPIbzpUzURJl6MtGx/2malori2.jpg)
ABIRIA WAKWAMA NJIANI BAADA YA MALORI KUFUNGA BARABARA YA MWANZA - DAR
9 years ago
Mwananchi18 Nov
Bomoabomoa kubwa yaja Dar
11 years ago
Michuzi09 May
Mnada mkubwa wa Isuzu Pick-Up Double Cabin na Malori kufanyika Jumamosi hii Kijitonyama, Dar es salaam