Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


unafahamu jinsi ya kupata marafiki na kudumisha urafiki?

Hapana shaka wewe msomaji wangu una marafiki. Je, unaridhika na idadi ya marafiki ulionao? Kama hauridhiki, je, unajua namna ya kupata marafiki wapya na kudumisha urafiki na wale ulionao? Kama hujui usiwe na wasiwasi bali endelea kusoma makala hii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Unafahamu jinsi ya kujijengea au kujiongezea ujasiri?

Ukikutana na mtu akakuuliza; baada ya kumcha Mungu ni jambo gani jingine muhimu unafikiri binadamu anapaswa kulifanya katika maisha yake? Hapana shaka hutaweza kutoa jibu mara moja kwa sababu utajikuta ukifikiria mambo kadhaa, wala hutaweza mara moja kutambua lipi ni muhimu kuliko yote.

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kupata ardhi kisheria-1

Ardhi ni mali na watu wanajipatia ardhi kwa njia mbalimbali. Leo tutaangalia njia mbadala ambazo watu hujipatia ardhi hapa nchini.

 

9 years ago

Michuzi

FAHAMU JINSI #RECRUITME INAVYOWEZA KUKUPA UJUZI UTAKAOKUSAIDIA KUPATA KAZI UITAKAYO

Na Jamiimojablog Ujuzi, katika soko la ajira ni mali ambayo inahitaji matengenezo na uboreshaji. Kama mali nyingine yoyote, matumizi yake bora, hukuzalishia zaidi. Sababu nyingi zimetolewa katika kipindi cha miaka mingi kwamba kuna utofauti wa wazi baina ya mtu mwenye elimu aliyeko kazini na mwenye elimu bila kazi. Utofauti huo ni jinsi ujuzi wa watu hao wawili unavyotumika.


Vijana wengi wa Tanzania wana ujuzi waliopata kutokana na mafunzo mbalimbali, lakini baadhi yao kushindwa kutumia...

 

10 years ago

Mwananchi

Fahamu jinsi unavyoweza kutumia kushindwa kwako kama kichocheo cha kupata ushindi maishani

Je umewahi kushindwa kutenda jambo lilikuwa muhimu sana kwa maendeleo ya maisha yako? Je hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache sana? Inapotokea huwa unafanya nini? Huwa unakata tamaa kabisa na kuacha kujaribu tena? Kabla hujatafakari sana kuhusu suala hili hebu soma taarifa yangu fupi kuhusu suala hili.

 

10 years ago

Vijimambo

UNAFAHAMU DAWA YA KUTENDWA?


HABARI zenu wapendwa wasomaji wa safu hii. Nimefurahi tumekutana tena kwa mara nyingine ili kupeana mawili matatu yanayohusu mahaba, hasa kwa kuwa baada ya kazi ngumu za kujenga taifa letu, tunahitaji nafasi kwa ajili ya kupumzisha mwili kiakili.

Juzi nilikuwa na rafiki yangu mmoja tumekaa sehemu tunabadilishana mawazo, akanipa simulizi ambayo imezaa mada hii. Alinisimulia mkasa wake kuwa anahisi mke wake anatoka na mtu mwingine, kwa sababu baada ya kuishika simu yake kwa siri na kuipekua,...

 

10 years ago

GPL

UNAFAHAMU DAWA YA KUTENDWA?

HABARI zenu wapendwa wasomaji wa safu hii. Nimefurahi tumekutana tena kwa mara nyingine ili kupeana mawili matatu yanayohusu mahaba, hasa kwa kuwa baada ya kazi ngumu za kujenga taifa letu, tunahitaji nafasi kwa ajili ya kupumzisha mwili kiakili. Juzi nilikuwa na rafiki yangu mmoja tumekaa sehemu tunabadilishana mawazo, akanipa simulizi ambayo imezaa mada hii. Alinisimulia mkasa wake kuwa anahisi mke wake anatoka na mtu mwingine,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani