Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNAFAHAMU DAWA YA KUTENDWA?

HABARI zenu wapendwa wasomaji wa safu hii. Nimefurahi tumekutana tena kwa mara nyingine ili kupeana mawili matatu yanayohusu mahaba, hasa kwa kuwa baada ya kazi ngumu za kujenga taifa letu, tunahitaji nafasi kwa ajili ya kupumzisha mwili kiakili. Juzi nilikuwa na rafiki yangu mmoja tumekaa sehemu tunabadilishana mawazo, akanipa simulizi ambayo imezaa mada hii. Alinisimulia mkasa wake kuwa anahisi mke wake anatoka na mtu mwingine,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UNAFAHAMU DAWA YA KUTENDWA?


HABARI zenu wapendwa wasomaji wa safu hii. Nimefurahi tumekutana tena kwa mara nyingine ili kupeana mawili matatu yanayohusu mahaba, hasa kwa kuwa baada ya kazi ngumu za kujenga taifa letu, tunahitaji nafasi kwa ajili ya kupumzisha mwili kiakili.

Juzi nilikuwa na rafiki yangu mmoja tumekaa sehemu tunabadilishana mawazo, akanipa simulizi ambayo imezaa mada hii. Alinisimulia mkasa wake kuwa anahisi mke wake anatoka na mtu mwingine, kwa sababu baada ya kuishika simu yake kwa siri na kuipekua,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa: Sipendi Wanaolalamika Kutendwa!

Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa aina yake, Shamsa Ford leo mtandaoni ametoa mtazamo wake kuhusu swala la watu kulalamika muda wote kuwa  wametendwa kwenye maswala la mahusiano ya kimapenzi.

“Huwa sipendi watu wanaolalamika kutwa kwamba wametendwa bila kuangalia nyuma yeye kawaumiza wangapi ambao waliamua tu kumnyamazia na kumpuuza”.

Wengi walionyesha kumuunga mkono kwa kubonyeza kitufe cha kupenda na wengine kushusha komenti zao, Je wewe kwa upande wako swala hili...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU ALIA KUTENDWA

Stori:  Hamida Hassan
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa ametendwa vya kutosha na marafiki hivyo kwa sasa hahitaji tena kuwa na rafiki. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ Akipiga stori na mwandishi wetu, Aunty Lulu alisema kwa nyakati tofauti marafiki wamemponza akaachika kwenye uhusiano wa wapenzi wake,...

 

11 years ago

Mwananchi

Je, unafahamu maana ya rangi hizi?

Ukiachilia mbali ulimwengu wa soka, hususan kwa hapa nchini kwa kuzitafsiri rangi nyekundu na njano kama rangi zinazowawakilisha watani wa jadi wa timu za Yanga na Simba, ulimwengu wa mitindo unatafsiri rangi hizo tofauti linapokuja suala zima la mavazi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Je unafahamu kuwa panya wanafaida ?

Panya hao maalum wanatumika kwa shughuli ya kuchunguza mabomu yaliyofichwa ardhini mbali na ugonjwa wa kifua kikuu TB.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unafahamu nini kuhusu ujamzito?

NIMESEMA mara nyingi kuwa kama unataka kujifunza kuhusua ujauzito usiandikie mate wakati wino upo. Ukitaka kujifunza mambo ya ujauzito wasikilize na wafuatilie wajawazito. Kila mwezi nitaandika makala kuhusu mama mmoja...

 

9 years ago

BBCSwahili

Video:Je unafahamu mchezo wa raga

Huku kombe la dunia la mchezo wa raga ukiendelea,watu wengi hawafahamu sheria ya mchezo huu,tazama video hii

 

9 years ago

BBCSwahili

Je unafahamu Maalim Seif Shariff ni shabiki ?

Zuhura Yunus alimtupia swali Maalim Seif Shariff , mgombea urais wa chama cha upinzani cha CUF kisiwani Zanzibar akitaka kujua anapenda nini mbali na siasa?

 

11 years ago

GPL

UNAFAHAMU NDOA NI SAWA NA KUMILIKI GARI?

HABARI wapendwa wasomaji wa safu hii. Kesho ni sikukuu ya Krismas, nadhani wengi mmefanya maandalizi mazuri ili watoto wafurahi kwa kujumuika na wenzao katika michezo mbalimbali baada ya ibada. Na siyo vibaya kwa nyinyi wakristo, kutualika hata sisi tusiokuwa wakristo ili tujumuike pamoja katika kumtukuza Mungu, kwani ndiyo kimbilio letu sote. Kichwa cha habari hapo juu kinazungumza kila kitu kuhusu uhusiano wa kimapenzi au...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani