UNAKUBALIKA KWENYE JAMII-2

BADO tunaendelea na somo letu ambalo safari hii nagusia upande wa maisha. Ndugu zangu, kukubalika kwenye jamii kuna manufaa makubwa kama nilivyosema wiki iliyopita. Niliishia pale nilipofafanua hasara za kutokubalika kwenye jamii. Sasa leo tuendelee. KWA NINI HUKUBALIKI? Wakati naanza kabisa kuandika mada hii, nimeeleza kwamba kila kinachotokea duniani huwa na sababu zake. Haiwezekani ukawa hukubaliki kwa chuki za watu au...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
UNAKUBALIKA KWENYE JAMII YAKO?
10 years ago
Dewji Blog08 Apr
Watanzania watakiwa kusaidia watu wasiojiweza kwenye jamii
Mhe. Membe pamoja na Mkewe Mama Dorcas Membe wakipata maelezo juu ya watoto waishio katika kituo hich kutoka kwa Sista Mary Bakhita.
9 years ago
Michuzi
Polisi waja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii

Jeshi la polisi nchini, limeanzisha mpango wa kuboresha usalama wa jamii nchi nzima ambao unalenga kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi, kuboresha mawasiliano ya ndani na nje ya Jeshi la polisi kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa usalama ambapo mpango huo utaanza kutekelezwa katika mkoa wa kipolisi kinondoni ambapo lengo lake ni kupunguza uhalifu kwa asilimia kumi ifikapo mwaka 2019.
Akihitimisha maabara ya mpango huo iliyofanya kazi kwa...
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Jeshi la Polisi laja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii.
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahmani Kaniki akisalimiana na askari Polisi wa wa jeshi hilo. (Picha ya Maktaba).
Na Tamimu Adam, wa Jeshi la Polisi.
Jeshi la polisi nchini, limeanzisha mpango wa kuboresha usalama wa
jamii nchi nzima ambao unalenga kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi, kuboresha mawasiliano ya ndani na nje ya Jeshi la polisi kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa usalama
ambapo mpango huo utaanza kutekelezwa katika mkoa wa kipolisi kinondoni ...
9 years ago
Michuzi
Jeshi la Polisi laja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii.

Akihitimisha maabara ya mpango huo iliyofanya kazi kwa...
10 years ago
Michuzi12 Nov
Nishati na Madini yatakiwa kushirikisha jamii kwenye uanzishaji wa miradi
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Na Greyson Mwase, Bagamoyo
Wataalamu wa...
10 years ago
Dewji Blog08 May
Tahadhari ya Tsunami inayosambazwa kwenye mitandao ya Jamii sio ya kweli
Tsunami.pdf by zainul_mzige21
11 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Jamii yatakiwa kuwasaidia watoto waishio kwenye mazingira magumu
JAMII nchini imetakiwa kuona umuhimu na wajibu wa kuwalea na kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kufikia ndoto zao katika kimaisha. Ushauri huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa...
9 years ago
Dewji Blog04 Dec
Shangwe za Coke Studio zaendelea kuleta burudani kwenye jamii
Mwanamuziki Fid Q akitoa burudani katika moja ya tamasha la Coke Studio.
Mwanamuziki Ali Kiba na Victoria Kimani wakiwa katika onyesho la Coke Studio.
Wasanii wa muziki wakitoa burudani katika moja ya tamasha la Coke Studio mkoani Mwanza.
Wanafunzi kuanzia shule za msingi nchini hadi vyuo vikuu wameshiriki kuonyesha vipaji vyao katika msimu huu wa Coke Studio kama wanavyoonekana katika moja ya tamasha la Coke Studio.
-Wanafunzi na vijana mitaani waendelea kupata burudani
Onyesho la...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10