Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNAKUBALIKA KWENYE JAMII YAKO?

LEO kwenye Love & Life nitazungumzia jambo muhimu sana katika maisha yetu. Kwa wiki kadhaa mfululizo nimezungumzia zaidi mapenzi, hebu leo tugusie maisha kidogo. Ni kuhusu kukubalika kwenye jamii. Watu wanakuchukuliaje mtaani kwako? Vipi kazini kwako una marafiki? Wanaokuzunguka wanakuonaje? Unakubalika? Ndugu zangu, kukubalika na watu unaoishi nao ni chachu ya maisha yako. Kwa maneno mengine huwezi kufanya mambo yako kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UNAKUBALIKA KWENYE JAMII-2

BADO tunaendelea na somo letu ambalo safari hii nagusia upande wa maisha. Ndugu zangu, kukubalika kwenye jamii kuna manufaa makubwa kama nilivyosema wiki iliyopita.
Niliishia pale nilipofafanua hasara za kutokubalika kwenye jamii. Sasa leo tuendelee. KWA NINI HUKUBALIKI?
Wakati naanza kabisa kuandika mada hii, nimeeleza kwamba kila kinachotokea duniani huwa na sababu zake. Haiwezekani ukawa hukubaliki kwa chuki za watu au...

 

10 years ago

GPL

SHOGA; MAMA YAKO ASIKUINGILIE KWENYE NDOA YAKO

Shoga, awali ya yote napenda kuwapongeza wote waliojitokeza katika zoezi la kupiga kura juzi kwani wameitumia vyema haki yao ya kidemokrasia kikubwa sasa kusubiri Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumtangaza mshindi wa kiti cha urais ili tuendelee na maisha yetu ya kawaida. Leo shoga yangu nimeona nizungumze nawe mwenzangu uliyeolewa kuhusiana na mama zetu ambao wametuzaa, kutulea, kutusomesha na hatimaye kutuozesha kwa waume zetu....

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu

Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.

“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”

Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.

Jionee picha hizo.

By Mzee wa Ubuyu

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE:JIVUNIE KURA YAKO NDANI YA JAMII EPUKA MCHEPUKO.

 HII NAFASI YA PEKEE NA ELEWA MAANA YA MABADILIKO WITO KWA WANAWAKE WOTE [WOMEN AS WINNERBREAD] ELISERENA KIMOLO MWENYEKITI UWT DMV NCHINI MAREKANI. 1.WITO KWA WANAWAKE WOTE.
Tumepata nafasi ya pekee mwanamke kuwa Makamu wa Rais,Mama Samia anafahamu fika matatizo ya mwanamke ndani ya familia,hivyo kwa mara ya kwanza huu ni ukombozi kwa mwanamket .
Tumepata mtetezi katika ngazi ya juu kwa sababu siku zote mwanamke ndie anayehusika zaidi na mambo ya familia , huku Nchini Marekani na nchi ...

 

10 years ago

Michuzi

NI HAKI YAKO KULIPWA HELA YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII UNAPOFUKUZWA KAZI.

Image result for HIFADHI  YA  JAMII


           Na Bashir Yakub
Hela  ya  mifuko  ya  hifadhi ya jamii  ni  hela  ambayo  mwajiriwa  hukatwa  kiasi  kadhaa katika  mshahara  wake na  mwajiri  hutoa  kiasi  kadhaa  na  kuhifadhiwa  katika  mfuko uitwao  mfuko  wa hifadhi ya  jamii. Mfuko  wa  hifadhi  ya jamiii ni  kama NSSF, PSPF, LAPF, GEPF  n.k. Hii ndio  mifuko  ya  hifadhi  ya   jamii. Ipo  mifuko  ya  hifadhi  ya jamii  ambayo  huhudumia  mashirika  ya  umma  na  ipo  mingine  ambayo  huhudumia  mashirika  binafsi,...

 

10 years ago

GPL

DUDE; USIINGIZE SANAA KWENYE NDOA YAKO

KWAKO Kulwa Kikumba ‘Dude’. Habari za siku ndugu yangu. Kitambo kidogo hatujaonana ana kwa ana, labda kwa kuwa wote tupo bize na ndiyo maana leo nimekukumbuka kupitia barua. Ukitaka kujua afya yangu, mimi sijambo. Hofu na shaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Vipi wanao wote hawajambo? Shemeji je?
Dhumuni la barua hii ni kutaka kukueleza kwamba nimeona tatizo katika maisha yako ya kawaida....

 

10 years ago

Dewji Blog

Jinsi ya kuongeza Speed kwenye simu yako

Moja kati ya matatizo ya smartphones nyingi ni kuwa speed au kasi yake huwa ndogo sana. Hii hutokea mara nyingi kama umefungua applications/programs nyingi kwa mara moja. Je unawezaje kujikwamua na hali hii?

20150918_143620

Kuna njia mbali mbali ambazo unaweza kutumia kuondokana na tatizo la simu kufanya kazi polepole. Njia kubwa na ya uhakika ni KUNUNUA SIMU YENYE UWEZO MKUBWA.

Kununua simu yenye uwezo wa kufungua application nyingi kwa wakati mmoja bila kusumbua ndio dawa sahihi ya kuondoka na tatizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani