Unapotoa tuhuma hadharani dhidi ya bosi wako uwe tayari kujiuzulu!
MAZOEA yanajenga tabia; na mazoea mabaya yanajenga tabia mbaya. Katika utendaji wa kazi au utumishi wa aina fulani kuna mambo ambayo yamezoeleka na mengine yanakuwa kama tabia tu iliyozoeleka. Katika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Unapotoa tuhuma hadharani dhidi ya bosi wako uwe tayari kujiuzulu — 2
Wiki iliyopita nilianza kwa kueleza kuwa mazoea yanajenga tabia; na mazoea mabaya yanajenga tabia mbaya. Katika utendaji wa kazi au utumishi wa aina fulani kuna mambo ambayo yamezoeleka na mengine...
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Kuufanya mwili wako uwe na umbile zuri
10 years ago
Bongo523 Sep
Kwanini hutakiwi kunywa pombe na bosi wako
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
‘Tuhuma dhidi ya Nyalandu ni uzushi’
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imesema tuhuma zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya vyombo vya habari dhidi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, hazina ukweli na zimelenga kumchafua binafsi pamoja na wizara.
Pia imetoa ufananuzi wa tuhuma hizo zilizokuwa zikielekezwa kwa Nyalandu na kuonya kuwa, kuanzia sasa itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya wanaomchafua na kupaka matope utendaji kazi wake.
Hivi karibuni Nyalandu amekuwa akiandamwa na baadhi ya watu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni...
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
Salazar akana tuhuma dhidi yake
10 years ago
Vijimambo18 Dec
Real Madrid wako tayari kuvunja rekodi ya usajili kwa kumsajili mlinda mlango David De Gea
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/07/141007144536_david_de_gea_640x360_reuters_nocredit.jpg)
Real Madrid wako tayari kuvunja rekodi ya usajili kwa kumsajili mlinda mlango David De Gea toka klabu ya Man United usajili huu utavunja rekodi ya uhamisho iliyowekwa na kipa Gianluigi Buffon aliehamia Juventus toka Parma.Huku kukiwa na taarifa De Gea anafuraha kubaki na kikosi cha Manchester United na atasaini mkataba mpya .
Timu ya Liverpool imefikia makubaliano ya kumsajili kipa Guillermo Ochoa toka klabu ya Malaga kwa dau la £3milion ili kuwa mbadala wa Simon Mignolet ambae...
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Mwansasu: Tupo tayari dhidi ya Misri
9 years ago
Bongo526 Dec
Ridhiwan aweka mambo hadharani, soma alichojibu kuhusiana na shutuma za ufisadi dhidi yake
![Riz](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Riz-300x194.jpg)
Soma kile alichoandika Ridhiwan Kikwete kujibu tuhuma mbalimbali za ufisadi zilizomwandama kwa miaka mingi.
Ndugu zangu waandishi wa habari, nimeamua kuwaita ili kuzungumza nanyi kuhusu baadhi ya mambo yaliyokuwa yanasemwa katika vyombo vya habari kuhusu mimi.
Awali ya yote napenda kusema kuwa habari hizo ni UONGO mtupu, ni mambo yanayozushwa na waandishi wa habari hizo kwa nia ya kuchafua jina langu kwa sababu wanazozijua wanaoandika. UKWELI ni kwamba haya ni mambo yenye kufanywa kwa nia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PJWsq-yWg5U10eetpUsUCOe9t2j-Mhg7vtYEwCGj2Khr3NAsk6DUcCxzlUYHbF6aiabluYxf6yv9WarCAdvWhz*/zkwasanii2.jpg?width=750)
ZITTO KABWE: TUHUMA DHIDI YANGU ZICHUNGUZWE