Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unatunza kabati kwenye ‘kitchen party’ nguo umehifadhi kwenye rambo

Ushoga kazi! Mtu yupo radhi kukopa fedha vikoba ili anunue kabati la kumtuza shoga yake wakati wa sherehe ya jikoni maarufu ‘kitchen party’. Wakati huohuo nyumbani kwake hana chakula na wala hana sehemu maalum ya kuhifadhia vyombo au nguo zake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTOTO AOKOTWA GETINI AKIWA NA NGUO KWENYE RAMBO

MTOTO mwenye umri unaokadiriwa kuwa mwaka mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, aliokotwa huko Kibamba CCM, jijini Dar es Salaam, nje ya geti la nyumba ya Getruda Gervans. Mtoto aliyetelekezwa (jina halikufahamika), mwenye umri unaokadiriwa kuwa mwaka mmoja. Tukio hilo lilitokea  Juni 24, mwaka huu saa moja na nusu asubuhi huku mfuko wenye nguo zake ukiwa pembeni yake.… ...

 

11 years ago

GPL

SAJENT ATINGA NA KIVAZI CHA KLABU KWENYE KITCHEN PARTY

MWIGIZAJI Bongo Movies, Husna Idd ‘Sajent’ amewashangaza waalikwa baada ya kutinga na kivazi cha klabu kwenye kitchen party katika Ukumbi wa Mawela, Sinza jijini Dar. Mwigizaji Bongo Movies, Husna Idd ‘Sajent’ (kushoto) akiwa na Shilole. Sajent alipoingia ukumbini aliwafanya watu wote kumgeukia huku baadhi wakihoji namna ambavyo wazazi wa biharusi watamtathmini. Hata hivyo, mwenyewe hakujali kwani...

 

10 years ago

GPL

KICHANGA AUAWA, ATIWA KWENYE MFUKO WA RAMBO

Mwili wa kitoto kichanga uliotupwa kwenye jalala. Stori: Mwandishi Wetu, Mbeya/UWAZI
UKATILI, Mtoto mchanga ambaye anasadikika kuwa wa siku saba, amekutwa akiwa ameuawa na mwili wake kuwekwa kwenye mfuko wa rambo kisha kutupwa pembeni mwa jalala. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika Mtaa wa Kaloleni  katika Mji wa Tunduma katika Wilaya ya Momba, mkoani Mbeya . Wakizungumza na gazeti hili mashuhuda ambao hawakupenda...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA PUNGUZO LA BEI HADI 80% KWENYE MADUKA MAKUBWA YA NGUO DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza Punguzo kubwa la Bei ya Nguo la hadi 80% kwenye Maduka Makubwa ya Nguo yaliyopo Jijini humo ili kuhakikisha Wananchi wanapendeza na kuwa nadhifu Jumapili ya May 24 kwenye Kilele cha Siku Tatu za Shukrani Kwa Mungu zilizotangazwa na Rais Dkt. John Magufuli.

RC Makonda amesema Miongoni mwa Maduka Makubwa yaliyoamua kutoa punguzo la bei ni pamoja na Mr. Price na Red Tag ya Mlimani city, Vunja Bei, Maduka yaliyopo City Mall pamoja na...

 

10 years ago

GPL

JE, UNGEKUWA HUJAFANYIWA KITCHEN PARTY?!-2

JUMANNE zinakuja kama mvua! Imeshafika Jumanne nyingine huku nikiamini wasomaji wangu wote mko na afya njema kabisa baada ya kuachana wiki iliyopita katika mada hiihii ya Je, Ungekuwa Hujafanyiwa Kitchen Party? Wiki iliyopita tuliishia pale ambapo nilisema nilijaribu kuchunguza kwa muda mrefu kuhusu wanandoa wanawake ambao walipata mafunzo ya Kitchen Party nikagundua kuwa, wengi wao wanapoingia ukumbini siku ya sherehe mawazo...

 

10 years ago

GPL

JE, UNGEKUWA HUJAFANYIWA KITCHEN PARTY?!

Mungu kweli mkubwa! Ni Jumanne tena ambapo naamini wasomaji wangu wa safu hii ya Mapenzi na Maisha mpo sawasawa mkiendelea kunifuatilia.Baada ya wiki iliyopita kumalizia mada yangu ya; HERI USIWE HEWANI KULIKO KUTOPOKEA SIMU, nimefikiria kuwaletea kitu kingine hapa. Hata hivyo, nawashukuru sana wasomaji wangu kwa mada ile kwani nilipokea simu nyingi za kunipongeza kwamba nilichokiandika kilikuwa cha kweli tupu. Mada ya leo ni;...

 

11 years ago

TheCitizen

Has ‘Kitchen Party’ lost its meaning?

Suzzane Balankana, 26, a hotelier is looking forward to wed next month. Her family is busy raising money for her ‘bridal shower’ locally known as kitchen party. Kitchen party has been a very famous party for the brides-to-be for many years now.

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani