KICHANGA AUAWA, ATIWA KWENYE MFUKO WA RAMBO
![](http://api.ning.com:80/files/LXZYmTRupZ*MKmUrZHeHMv54I8Do7xBtPsAIDU0hCKRQIDGr6OsQYuDL6vZdaAgXctDeFRd1IOIkle9mnz21iw6vZvWgPaxA/KICHANGA1.jpg?width=650)
Mwili wa kitoto kichanga uliotupwa kwenye jalala. Stori: Mwandishi Wetu, Mbeya/UWAZI UKATILI, Mtoto mchanga ambaye anasadikika kuwa wa siku saba, amekutwa akiwa ameuawa na mwili wake kuwekwa kwenye mfuko wa rambo kisha kutupwa pembeni mwa jalala. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika Mtaa wa Kaloleni katika Mji wa Tunduma katika Wilaya ya Momba, mkoani Mbeya . Wakizungumza na gazeti hili mashuhuda ambao hawakupenda...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZCmEJwxnBKlR*0BfaD7gRxPhc7jf4OUkP365rJWf7lCbPIWbaeIIi3ANz46dUc4KBtmXfIO01fTTU7jzgSJUopgW/3kichanga3.jpg)
KICHANGA CHATUPWA, MAMA YAKE ATIWA NGUVUNI
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kgTogVO-CgI/U4bMyuvpKDI/AAAAAAAFmBQ/PyqPzr9Rc5o/s72-c/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
MSICHANA WA KAZI ATIWA MBARONI KWA KUTUPA KICHANGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-kgTogVO-CgI/U4bMyuvpKDI/AAAAAAAFmBQ/PyqPzr9Rc5o/s1600/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
MSICHANA Theresia Matai (19) ambaye ni mfanyakazi wa ndani mkazi wa Kwa Mathias wilayani Kibaha mkoani Pwani anashaikiliwa na Jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumtupa mtoto wake aliyejifungua.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 27 mwaka huu majira ya saa 3 usiku.
Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea eneo la Mwembe...
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Unatunza kabati kwenye ‘kitchen party’ nguo umehifadhi kwenye rambo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akSs5wY-ljSFqD*jcqb1TUbAeIDkEb07oDtpLjaCxz5vI0d*zO9t6kV9BPTjSc*aaj91hUX137DaVeoneibJVlAK/mtoto.jpg)
MTOTO AOKOTWA GETINI AKIWA NA NGUO KWENYE RAMBO
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
Mwili wa kichanga wakutwa umefukiwa kwenye gofu Songea
Kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela.
Na Nathan Mtega wa Demashonews, Songea.
Pamoja na kuwepo kwa harakati na utetezi kuhusiana na haki za watoto ikiwemo ya kuishi lakini bado wilayani Songea mkoani Ruvuma kumeendelea kuwepo kwa vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vinavyoambatana na utupaji wa watoto wachanga.
Vitendo hivyo ni pamoja na kitendo kilichotokea jana katika mtaa wa Lizaboni mjini Songea ambapo mwili wa mtoto mchanga anaedaiwa kuwa na umri wa miezi sita ulikutwa...
10 years ago
Vijimambo24 Jul
Auawa baada ya kuwachoma visu wenzake kwenye daladala
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2805486/highRes/1069784/-/maxw/600/-/qejcs8z/-/pic_kisu.jpg)
By Pamela Chilongola, Mwananchi
Dar es Salaam. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mosha Mahona ameuawa na wananchi baada ya kuwachoma kwa kisu abiria watano waliokuwa kwenye daladala linalofanya safari zake kati ya Posta na Ubungo Simu 2000.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa moja usiku katika eneo la Magomeni Usalama na Mahona aliuawa kwa kushambuliwa na wananchi baada ya...
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Auawa baada ya kuwachoma visu wenzake kwenye daladala
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Uvimbe kwenye mfuko wa mayai wa mwanamke (ovarian cyst)
KARIBU katika kona hii ya afya ili uweze kujua mengi kuhusiana na afya yako. Leo tutaangalia tatizo la uvimbe kwenye mfuko wa mayai kwa mwanamke, kwa kingereza inaitwa (ovarian cyst)...
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Uvimbe kwenye mfuko wa mayai kwa mwanamke (ovarian cyst)-2
WIKI iliyopita tuliangalia maana ya uvimbe kwenye mfuko wa mayai, mayai ya mwanamke ni nini na baadhi ya aina ya uvimbe kwenye mfuko wa mayai. Tuliona kuna uvimbe kwenye mfuko...