UNESCO waanzisha program ya utamaduni kukabili UKIMWI
Afisa Ardhi na Mazingira wa Halmashauri ya wilaya ya Msalala (Kahama), Zablon Donge, akifungua rasmi warsha ya siku tatu ya wadau wa mapambano dhidi ya UKIMWI kwa niaba ya Mkurugenzi wa wilaya hiyo, iliyofanyika Kata ya Segese wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues pamoja na Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Nov
UNESCO waanzisha programu ya utamaduni kukabili Ukimwi
MKURUGENZI Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues ametaka jamii kujumuisha suala la utamaduni katika kupambana na maambukizi mapya ya Ukimwi.
10 years ago
Habarileo11 Jun
Vijana waanzisha klabu kusaidia kukabili uhalifu
VIJANA zaidi ya 100 kutoka shule za sekondari za mjini Dodoma kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wamepaza sauti zao kupinga vitendo vya kiuhalifu.
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
L’Oréal-UNESCO For Women in Science Sub-Saharan Africa 2015 program honours Africa’s female scientists
L’Oréal-UNESCO For Women In Science 2015 Fellows with Dr Peggy Oti-Boateng , Senior Programme Specialist for S&T and Coordinator ANSTI UNESCO MSRO for Southern Africa, Dr Phil Mjwara, Director General: Department of Science and Technology (Far right) Sandeep Rai – Managing Director L’Oreal South Africa (5th from right) and some of the 2015 jury members.
2015 L’Oréal-UNESCO For Women in Science Sub-Saharan Africa fellows.
12 female scientists from across Sub-Saharan Africa have been...
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
UNESCO kuendeleza utamaduni wa kuzisaidia redio jamii
Mkuu wa ofisi na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (Utawala na Fedha), Bw. Liberat Mfumukeko alipowasili katika chumba maalum cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ufunguzi wa kongamano la siku tatu la Mtandao wa Redio za Jamii katika nchi za Afrika Mashariki (EACOMNET) linalolenga kujadili namna ya kuziwezesha redio hizo...
10 years ago
Michuzi21 May
UNESCO YAAHIDI KUSAIDIA TANZANIA KUKABILI DHULUMA DHIDI YA WANAOISHI NA ALBINISM
10 years ago
Dewji Blog21 May
UNESCO imeahidi kuwasaidia Watanzania kukabili dhuluma dhidi ya wanaoishi na albinism
Kiongozi wa ofisi na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake jijini Mwanza akiwa ameambatana na Mbunge wa Viti Maalum CCM, anayetetea maslahi ya watu wenye albinism, Mh. Al-Shaymaa Kwegyir (wa pili kulia) pamoja na Semeni Kingaru (wa tatu kulia).(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Mwandishi wetu, Mwanza
SHIRIKA...
11 years ago
Habarileo04 May
JK ataka sekta binafsi kukabili Ukimwi
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi kujihusisha zaidi katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, kwa sababu ugonjwa huo unaathiri uchumi, biashara na kuongeza mzigo wa gharama za uzalishaji kwa kampuni.
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Mil. 115/- kukabili ukimwi Kilolo
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa imetenga sh milioni 115.5 kwa ajili ya kutekeleza pambano dhidi ya ugonjwa wa ukimwi kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Mwenyekiti wa Kamati ya...
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuendelea kushirikiana na wadau katika kuendeleza Utamaduni
Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akifungua kituo cha utamaduni wa China nchini Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.
Baadhi ya wanafunzi wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya Kichina katika kituo cha Utamaduni wa China nchini Tanzania wakiimba nyimbo kwa lugha ya...