Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNESCO YAAHIDI KUSAIDIA TANZANIA KUKABILI DHULUMA DHIDI YA WANAOISHI NA ALBINISM

SHIRIKA la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeahidi kusaidia mapambano dhidi ya unyanyasaji na dhuluma zinazofanywa jamii dhidi ya watu wenye albinism.  Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Kiongozi wa ofisi na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues wakati akizungumza na mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo.  Mwakilishi huyo wa Unesco amesema hayo alipomtembelea Mkuu wa mkoa kumsalimia na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

UNESCO imeahidi kuwasaidia Watanzania kukabili dhuluma dhidi ya wanaoishi na albinism

DSC_0349

Kiongozi wa ofisi na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake jijini Mwanza akiwa ameambatana na Mbunge wa Viti Maalum CCM, anayetetea maslahi ya watu wenye albinism, Mh. Al-Shaymaa Kwegyir (wa pili kulia) pamoja na Semeni Kingaru (wa tatu kulia).(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu, Mwanza

SHIRIKA...

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania Yaahidi kuendelea kusaidia Wabunifu Nchini

Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia (watatu) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Kimarekani 5000 kwa kikundi cha Kuku Kalenda App.Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia akizungumza na wageni waalikwa kwenye kufunga maadhimisho ya wiki ya Ubunifu nchini (Innovation Week 2020) ambayo yalifanyika  kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dar Es Salaam. Katika maadhimisho hayo yenye kauli mbiu “Buni kwa Tija”...

 

10 years ago

Dewji Blog

UNESCO yasisitiza upendo kwa watoto wenye albinism

DSC_0945

Mkuu wa ofisi na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, Bi. Zulmira Rodrigues (katikati) akiambatana na Mbunge wa viti maalum CCM, anayewakilisha watu wenye ulemavu, Mh. Al shaymaa Kwegyir (kushoto) walipotembelea shule msingi Mitindo ya watoto wenye ulemavu wa ngozi, macho na masikio iliyopo katika wilaya ya Misungwi nje kidogo ya jiji la Mwanza. Kulia ni Mtaalamu wa Jinsia na Haki za Binadamu kutoka UNESCO Tanzania, Bi. Annica Moore.

 Na Modewjiblog...

 

10 years ago

Dewji Blog

UNESCO yaahidi kuviendeleza vyombo vya habari jamii kukuza Demokrasia

DSC_0120

 Mwalikishi wa Shirika la Kimataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambaye pia ni mshauri na mkufunzi wa redio jamii, Bi. Rose Haji Mwalimu akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania, Zulmira Rodrigues kwenye sherehe za uzinduzi wa kituo hicho cha redio jamii Uvinza FM uliofanyika wilayani Uvinza mkoani Kigoma.

Kutoka kushoto ni Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Uvinza FM Radio Bi. Nuru Kalufya, Mgeni rasmi Mkuu wa...

 

10 years ago

GPL

UNESCO YAAHIDI KUVIENDELEZA VYOMBO VYA HABARI JAMII KUKUZA DEMOKRASIA‏

Mwalikishi wa Shirika la Kimataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambaye pia ni mshauri na mkufunzi wa redio jamii, Bi. Rose Haji Mwalimu akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania, Zulmira Rodrigues kwenye sherehe za uzinduzi wa kituo hicho cha redio jamii Uvinza FM uliofanyika wilayani Uvinza mkoani Kigoma. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya akifanyiwa mahojiano mafupi ndani...

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA HAKI ZA BINADAMU, UNESCO WATAKA JAMII KUTAMBUA WATU WENYE ALBINISM

XXKamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism nchini kwa wadau na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mapema leo Juni 13.2015.UNSMkuu wa ofisi na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, Bi. Zulmira Rodrigues akizungumza kwa msisitizo juu ya jamii ya watanzania kuchukua hatua ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

UNESCO waanzisha program ya utamaduni kukabili UKIMWI

DSC_0202

Afisa Ardhi na Mazingira wa Halmashauri ya wilaya ya Msalala (Kahama), Zablon Donge, akifungua rasmi warsha ya siku tatu ya wadau wa mapambano dhidi ya UKIMWI kwa niaba ya Mkurugenzi wa wilaya hiyo, iliyofanyika Kata ya Segese wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues pamoja na Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman...

 

10 years ago

Habarileo

UNESCO waanzisha programu ya utamaduni kukabili Ukimwi

MKURUGENZI Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues ametaka jamii kujumuisha suala la utamaduni katika kupambana na maambukizi mapya ya Ukimwi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uingereza yaahidi kusaidia Nigeria

Uingereza imetangaza kuwa itaongeza msaada wake wa kijeshi na kielimu kwa Nigeria ili kuisadia katika juhudi za kupambana na kundi la wanamgambo la Boko Haram.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani