Mil. 115/- kukabili ukimwi Kilolo
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa imetenga sh milioni 115.5 kwa ajili ya kutekeleza pambano dhidi ya ugonjwa wa ukimwi kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Mwenyekiti wa Kamati ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Mil. 698/- zanunua greda Kilolo
HALMASHAURI ya Wilaya ya Iringa, imetumia zaidi ya sh milioni 698 kununua mtambo wa kisasa wa kuchonga barabara (greda), ambao mbali na kutumiwa kwa kazi za halmashauri hiyo pia utakodishwa...
11 years ago
Habarileo04 May
JK ataka sekta binafsi kukabili Ukimwi
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi kujihusisha zaidi katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, kwa sababu ugonjwa huo unaathiri uchumi, biashara na kuongeza mzigo wa gharama za uzalishaji kwa kampuni.
10 years ago
Habarileo29 Nov
UNESCO waanzisha programu ya utamaduni kukabili Ukimwi
MKURUGENZI Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues ametaka jamii kujumuisha suala la utamaduni katika kupambana na maambukizi mapya ya Ukimwi.
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
UNESCO waanzisha program ya utamaduni kukabili UKIMWI
Afisa Ardhi na Mazingira wa Halmashauri ya wilaya ya Msalala (Kahama), Zablon Donge, akifungua rasmi warsha ya siku tatu ya wadau wa mapambano dhidi ya UKIMWI kwa niaba ya Mkurugenzi wa wilaya hiyo, iliyofanyika Kata ya Segese wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues pamoja na Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman...
11 years ago
Habarileo14 May
Mil.540/-zatolewa kukabili dengue
SHILINGI milioni 132 zimetumika, huku Sh milioni 540 zikitengwa kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa dengue, ulioibuka hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Michuzi8.5 Mil zatengwa kwa ajili ya kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa Ukimwi wilayani Kalambo
OFISI ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa kupitia kitengo cha UKIMWI kimetumia zaidi ya shilingi milioni 8.5 kwa ajili ya kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa huo katika wilaya hiyo.
Fedha hizo zimetumika kuwanunulia wanafunzi yatima wanaoishi katika mazingira magumu sare za shule, viatu pamoja vifaa vya kujifunzia ikiwemo madaftari na kalamu, ambapo Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Godfrey Sichona alikabidhi kwa...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Wanachuo 115 watapeliwa
TAASISI ya Sayansi ya Afya ya Chuo Kikuu cha Eckernforde Tanga, inatuhumiwa kuwatapeli wanachuo zaidi ya 115 iliyowadahili na kukaa chuoni hapo miezi sita kisha kuwafukuza kwa madai kuwa hawana...
10 years ago
Habarileo24 Sep
115 wafa gesti kwa TB Joshua
MAOFISA wa Afrika Kusini wamethibitisha kuwa hadi sasa watu 115 wengi wao wakiwa raia wa Afrika Kusini wamekufa kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Kanisa linalojulikana kama Church of All Nations (SCOAN), linaloongozwa na Nabii maarufu wa Nigeria T.B Joshua, mjini Lagos.
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Raia 115 wa Afrika.K walifariki Nigeria