Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanachuo 115 watapeliwa

TAASISI ya Sayansi ya Afya ya Chuo Kikuu cha Eckernforde Tanga, inatuhumiwa kuwatapeli wanachuo zaidi ya 115 iliyowadahili na kukaa chuoni hapo miezi sita kisha kuwafukuza kwa madai kuwa hawana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge watapeliwa

IKULU imewaonya wabunge wenye uchu wa kuwa mawaziri na mawaziri wanaotaka kubaki kwenye madaraka hayo wasikubali kurubuniwa na matapeli wanaojifanya maofisa Usalama wa Taifa ambao wanawataka kutoa fedha ili wasaidiwe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watalii watapeliwa Kilimanjaro

WATALII   wanane  raia wa Australia waliokuwa nchini kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro na kutembelea vivutio vya utalii katika visiwa vya Zanzibar, wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kutapeliwa zaidi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mamia ya wasafiri watapeliwa UBT

Abiria wanaosafiri kwa mabasi kwenda mikoani na nchi jirani kupitia Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo (UBT), wanaendelea kutapeliwa na wapiga debe na wakatisha tiketi maarufu kama mawakala.

 

10 years ago

StarTV

Wakazi kijiji cha Baga watapeliwa sh. mil. 2.5 na ‘Vishoka’ wa Tanesco.

Na Mbonea Herman,

Tanga.

 

Mtu mmoja aliyejiita kuwa mfanyakazi wa Shirika la Umeme nchini TANESCO amewatapeli wakazi wa kijiji cha Baga shilingi milioni 2.5 fedha alizokuwa akichangisha kwa ajili ya kuwaunganishia huduma ya umeme kijijini hapo.

 

Kutokana na hali hiyo TANESCO Mkoa wa Tanga limewatahadharisha wananchi kuwa makini na watu wanaojiita kuwa ni vishoka wa shirika hilo ambao dhamira yao kuu ni kuwatapeli wananchi.

 

Ilikuwa ni kazi kuzingoa nguzo zilizokuwa zimejengwa na watu...

 

10 years ago

Habarileo

115 wafa gesti kwa TB Joshua

MAOFISA wa Afrika Kusini wamethibitisha kuwa hadi sasa watu 115 wengi wao wakiwa raia wa Afrika Kusini wamekufa kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Kanisa linalojulikana kama Church of All Nations (SCOAN), linaloongozwa na Nabii maarufu wa Nigeria T.B Joshua, mjini Lagos.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia 115 wa Afrika.K walifariki Nigeria

Serikali ya Afrika Kusini inasema watu 115 wengi wao raia wa Afrika Kusini, walifariki baada ya kuporomokewa na kanisa Nigeria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mil. 115/- kukabili ukimwi Kilolo

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa imetenga sh milioni 115.5 kwa ajili ya kutekeleza pambano dhidi ya ugonjwa wa ukimwi kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Mwenyekiti wa Kamati ya...

 

11 years ago

Habarileo

IOM kurejesha makwao wahamiaji haramu 115

SHIRIKA la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema linatarajia kurudisha wahamiaji haramu 115 walioingia nchini kutokea Ethiopia mwishoni mwa wiki ijayo.

 

10 years ago

Mtanzania

Watoto 115 wanaswa wakipatiwa mafunzo Dodoma

Na Debora Sanja, Dodoma

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limeviweka chini ya ulinzi na kuvifanyia uchunguzi vituo vitatu vilivyokusanya watoto 115 kutoka mikoa 13 nchini kwa lengo la kuwapatia mafunzo ya dini ya Kiislamu.

Vituo hivyo vyote vipo katika eneo la Nkuhungu, lililopo katika Manispaa ya Dodoma.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime, alisema wanafanya uchunguzi katika vituo hivyo kutokana na kuhusika kuendesha vituo vya kulelea watoto bila kusajiliwa na hatarishi.

“Jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani