Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN:Kipindupindu chawaathiri wakimbizi TZ

Umoja wa mataifa unasema kuwa zaidi ya visa 400 vya ugonjwa wa kipindupindu vinaripotiwa kila siku miongoni mwa wakimbizi wa Burundi walio nchini Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAZIRI KEBWE AZUNGUMZIA KIPINDUPINDU KILICHOUA WAKIMBIZI WA BURUNDI

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Kebwe Stephen Kebwe, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Kebwe Stephen Kebwe,  ametoa tathmini ya vifo 15 vilivyotokea mkoani Kigoma kijiji cha Kagunga ambapo watu tisa wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa kipindupindu na sita kufa kutokana na maradhi mbalimbali. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam katika ofisi za...

 

10 years ago

GPL

KIPINDUPINDU TISHIO KAMBI YA WAKIMBIZI WA BURUNDI NYARUGUSU, OXFAM YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VYOO

 Baadhi ya wakimbizi wakiwa wamewasili Kigoma  Wakimbizi kutoka…

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu

Na  Raymond Mushumbusi- MAELEZO
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka

PIXX 3

Wakimbizi kutoka nchini Burundi  walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).

PIXX 1

Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAKIMBIZI WA BURUNDI WAONGEZEKA MAKAMBI YA WAKIMBIZI MKOANI KIGOMA

 Baadhi ya Wakimbizi kutoka Burundi wakipokelewa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta, wilayani Kobondo, mkoani Kigoma. Idadi ya wakimbizi kutoka nchini humo inazidi kuongezeka siku hadi siku.Watoto wa Wakimbizi kutoka Burundi wakiwa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, mkoani Kigoma ambapo wanahifadhiwa. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.



 

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIIdadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta...

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA

 Mkuu wa kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu B iliyopo wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, Fredrick Nisajile akiongea na wakimbizi walio katika mpango wa kuhamishiwa kwenye kambi za Nduta, Mtendeli na Karago.Wakimbizi hao waliopokelewa kutoka nchini Burundi hivi karibuni kwa sasa wanahifadhiwa kwa muda katika kambi ya Nyarugusu. Wakimbizi kutoka Burundi walioko katika Kambi ya Nyarugusu wakiandaa mboga ya kisamvu kama walivyokutwa na mpiga picha wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeko katika...

 

9 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA NA KUWATAKA WAKIMBIZI HAO WADUMISHE AMANI NA UTULIVU

Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke (kushoto) akizungumza na watumishi wa mashirika mbalimbali yaliyoko katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma (hawapo pichani) wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia) aliyetembelea kambi hiyo jana.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia), akizungumza na watumishi mbalimbali...

 

9 years ago

GPL

UGONJWA WA KIPINDUPINDU

Leo tutachambua ugonjwa wa kipindupindu unaozikumba jamii mbalimbali na kuathiri nchi nyingi za Kiafrika Tanzania ikiwemo. Ugonjwa wa kipindupindu ni tatizo kubwa la kiafya kwa nchi zinazoendelea, ambako milipuko yake hutokea kufuatana na misimu ya hali ya hewa na kuhusishwa na suala la umaskini na usafi duni. gonjwa huo husababisha mtu kuharisha choo kingi cha maji maji ambacho hufanya maji kupungua haraka mwilini hali ambayo...

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua 21 Mwanza

Watu 21 wamefariki dunia na wengine 670 kulazwa katika kambi mbalimbali kutokana na kuugua kipindupindu tangu kilichoibuka mkoani Mwanza Septemba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani