Unyanyapaa, Ukatili na Mauaji dhidi ya Albinism..Imetosha!
Balozi wa kujitolea wa kampeni ya mapambano dhidi ya mauaji ya albino, Henry Mdimu (katikati) akizungumza na vyombo vya habari (hawapo pichani) wengine ni wajumbe wa kamati hiyo. Kushoto ni Monica Joseph na Kulia ni Masoud Kipanya.
Baadhi ya wa Wajumbe wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumaliza mkutano wao na waandishi wa habari.
..Sote kwa pamoja tuungane kupinga vitendo hivi viovu
Na Andrew Chale wa Modewji blog
“Sote kwa pamoja tuungane kupinga vitendo viovu wanavyofanyiwa ...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV27 Feb
Ukatili dhidi ya wenye Albinism, viongozi wa dini walaani.
Na Wilson Elisha,
Mwanza.
Viongozi wa kamati ya amani ya dini ya Mkoa wa Mwanza wamesema vitendo cha ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi Albino vya kuwaua kwa kuwakata mapanga kuwa ni laana kwa wanaofanya hivyo na havikubaliki katika jamii.
Kutokana na hali hiyo viongozi hao wameiomba Serikali kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha wale wote wanaohusika wanachukuliwa hatua za kisheria ili haki iweze kutendeka wakati huu ambao wameandaa kongamano la wazi la...
5 years ago
BBCSwahili08 Mar
Coronavirus: 'Unyanyapaa' ulivyochochea chuki dhidi ya Wachina nchini Kenya
10 years ago
VijimamboMATEMBEZI YA HAMASA KUPIGA VITA MAUAJI YA ALBINO - IMETOSHA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akihutubia katika viwanja vya leaders club baada ya kuhitimisha matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam...
10 years ago
Dewji Blog30 Mar
Matembezi ya hamasa kupiga vita mauaji ya Albino — Imetosha
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr, Balozi wa Harakati ya Imetosha, Henry Mdimu, Mwakilishi wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Abdillah Omar sambamaba...
10 years ago
Vijimambo16 Mar
HOUSTON, TEXAS NAO WASEMA "IMETOSHA" MAUAJI YA ALBINO TANZANIA
Ephaim (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Jenga siku ya Pazi Reunion iliyofanyika Houston. Jenga akiwa amevaa fulana yenye picha ya Albino ikiwa ni ishala ya kupinga mauaji ya ndugu zetu hao mabayo yametikisa Dunia hivi sasa.
10 years ago
Michuzi05 Mar
Mwanahabari Henry Mdimu asema IMETOSHA! avaa njuga kupambana na mauaji ya Albino
5 years ago
MichuziSPIKA NDUGAI ATOA NENO KWA VIONGOZI WAKUU WA DINI KUHUSU MAPAMBANO DHIDI VIRUSI VYA UKIMWI, UNYANYAPAA
Ametoa ombi hilo jijini Arusha wakati akifungua mkutano maalum ulioandaliwa na ofisi yake kupitia NACOPHA chini ya mradi wa Hebu Tuyajenge unaofadhiliwa na USAID kutoka kwa watu wa Marekani. Mutano huo...
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Breaking News…#Ukatili tena: Mtoto mwingine mwenye Albinism akatwa mkono, mama mtu ajeruhiwa vibaya
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari. (Picha na maktaba).
Na modewji blog
Mtoto Baraka Cosmas Rusambo mwenye umri wa miaka sita mwenye ulemavu wa ngozi (Albinism), amekatwa mkono wa kulia katika tukio lilitokea Jumamosi usiku tarehe7 Machi kwenye kijiji cha Kiseta, Kata ya Kiseta, Tarafa ya Kiseta wilayani Sumbawanga vijijini, mkoani Rukwa.
Picha ya mtoto Baraka Cosmas Rusambo, akiwa wodini akipatiwa matibabu ya jeraha la...
10 years ago
MichuziWENGI WAHAMASIKA KATIKA MATEMBEZI YA KUPIGA VITA MAUAJI YA ALBINO - IMETOSHA, JIJINI DAR LEO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.Matembezi yakiendelea.
Wadau kutoka sekta mbali mbali wakishiriki kwenye Matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders...