Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UONGOZI KILWA WATOA UFAFANUZI KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MCHANGO WA RASILIMALI ZA WILAYA HIYO

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu namna wilaya hiyo inavyoendelea kuboresha huduma za jamii kwa kutumia rasilimali mbalimbali zilizo katika wilaya hiyo.Kushoto ni diwani wa kata ya Kikole Mwl.Haji Mulike na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo Bw. Ali Mohamed Mtopa. Ramani ya hospitali ya kisasa yenye hadhi ya kimataifa itakayojengwa wilayani kilwa kwa nguvu za halmashauri na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NSSF WATOA SEMINA KWA WENYEVITI WA VYAMA VYA MSINGI (AMCOS) VYA WILAYA YA KILWA-LINDI

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi yaJamii(NSSF) limetoa Elimu kwa Wenyeviti na Makatibu wa Wakulima wa Korosho na Ufuta wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi kuhusu mpango wa Hifadhi ya Jamii kwa Wakulima, Mpango huo unamwezesha mkulima kupata mikopo mbalimbali ikiwemo mkopo wa vifaa vya kilimo pamoja na pembejeo za kilimo. 
Aidha mpango huo unamwezesha mkulima na familia yake kufaidika na mafao mbalimbali yatolewayo na NSSF yakiwemo mafao ya matibabu ambapo mkulima atapata matibabu bure yeye na...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA CHUO CHA CBE ATOA UFAFANUZI KUHUSU HABARI ZILIZOCHAPISHWA KWA LENGO LA KUUPOTOSHA UMMA KUHUSU CHUO CHAKE

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu habari za upotoshaji zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya mitandao ya kijamii kuhusu chuo hicho, leo jijini Dar es salaam.
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.
Mkuu wa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema amesema kuwa habari zilizoandikwa na kuchapishwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya mitandao ya kijamii...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Afya afungua semina kwa waandishi wa habari kuhusu usalama wa chakula

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif  (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.

Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kushoto),...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa azungumza kwa ufupi na waandishi wa habari kuhusu jina lake kukatwa

Lowassa azungumza kwa ufupi na waandishi wa habari kuhusu jina lake kukatwa

 

9 years ago

Michuzi

TAASISI YA UONGOZI YAANDAA WARSHA YA NAFASI YA WADAU WA NGAZI YA MKOA, WILAYA NA HALMASHAURI KATIKA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA MAFUTA NA GESI ASILIA

6Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw. Johansen Bukwali akisoma hotuba ya ufunguzi wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia kwa niaba ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi -TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia katika ukumbi wa hoteli ya NAF Beach mkoani Mtwara.
5Mkuu wa Idara ya Utafiti na Sera kutoka Taasisi ya UONGOZI Bw. Dennis Rweyemamu akizungumza kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph Semboja wakati wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015 KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015
KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA
KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU
 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu tangazo lake lililotolewa kwenye vyombo vya habari tarehe 11 Septemba, 2015 kuhusu vipindi vinavyorushwa moja kwa moja wakati wa kampeni za uchaguzi
mkuu.  Ufafanuzi huu unatolewa kutokana na maoni...

 

10 years ago

Michuzi

Waandishi wa habari wapigwa msasa kuhusu namna bora ya kuimarisha uandishi wa habari za shughuli za Bunge

Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams Conference mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.Mhariri Mtendaji Jamhuri Media Limited, Bw. Deodatus Balile akitoa mada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani