Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uongozi mzuri siri ya maendeleo Muheza - Adadi Rajabu

Na Mwandishi wetu, Muheza  Ushirikishwaji wa wananchi na uongozi mzuri ni nyenzo muhimu za kuleta maendeleo katika wilaya ya Muheza, mkoani Tanga.  Akihutubia wananchi waliojitokeza kumuunga mkono mwishoni mwa wiki wilayani Muheza, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Adadi Rajabu alisema maendeleo duni katika wilaya hiyo yametokana na uongozi mbaya. Alikua akichukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Muheza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).  “Muda wa mabadiliko umefika,” alisema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Balozi Adadi Rajabu aipa changamoto bandari Dar

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Adadi Rajabu ameishauri Bandari ya Dar es Salaam kuongeza kasi ya kushusha mizigo ya wafanyabiashara wa Zimbabwe ili kuimarisha uhusiano wa kiuchumi.

 

9 years ago

Michuzi

NITAHAMASISHA UWEKEZAJI ZAIDI MUHEZA-BALOZI ADADI

Na Mwandishi Wetu, Muheza Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapiduzi (CCM), katika jimbo la Muheza mkoani Tanga, Balozi Adadi Rajabu (Kulia akipokea fomu), amesema atapigana kufa na kupona kuingiza wawekezaji wilayani humo katika nyanja ya kilimo na utalii.
Akizungumza baada ya kunadiwa na mgombea urais wa CCM, John Pombe Magufuli, Adadi amesema mjini hapa jana kwamba ataelekeza nguvu kubwa katika kuvutia wawekezaji ili kuiinua Muheza kiuchumi.
Magufuli, aliyemnadi Adadi kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Uongozi wa StarTimes waishukuru Serikali kwa ushirikiano mzuri inaowapa

PIX1

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akimkaribisha ofisini kwake Makamu wa Rais wa Kampuni ya Star Times Tanzania Bi. Zuhura Hanif leo jijini Dar es Salaam.

PIX2a

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akielezea jambo wakati wa mazungumzo baina yake na uongozi wa Star Times waliomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania Bw. LEO...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHUDHURIA HAFLA YA KUMPONGEZA KWA UONGOZI MZURI


Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA HAFLA YA KUMPONGEZA KWA UONGOZI MZURI YA USIKU WA JAKAYA JIJINI WASHINGTON DC

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini WashingtonRais Jakaya Kikwete akiongea na Dkt Seche Malecela baada ya kupokea risala ya pongezi kwa uongozi wake nchini Tanzania  katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott...

 

11 years ago

Mwananchi

Siri ya maendeleo ni kuwekeza kwenye ujuzi

Nianze kwa kukubaliana na nadharia ya maendeleo ya kiuchumi ya ‘O-Ring’ iliyotolewa na mchumi na Professa Michael Kremmer wa Chuo Kikuu cha Havard, mwaka 1993.

 

10 years ago

Habarileo

Mkapa awapa viongozi Afrika siri ya maendeleo

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin MkapaVIONGOZI wa Afrika wametakiwa kubuni mikakati itakayowawezesha wananchi wote kushiriki katika shughuli za kimaendeleo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwalimu Nyerere na siri ya maendeleo ya Kiswahili nchini

Katika Afrika ya Mashariki, tangu enzi za ukoloni mpaka sasa, Kiswahili kinaonekana kutamalaki zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine.

 

5 years ago

Michuzi

UONGOZI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WAKUTANA NA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO KUJADILI FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO.

Waziri wa  Maliasili  na  Utalii, Dkt.  Hamisi Kigwangalla, leo amekutana na viongozi wa Wilaya ya Ngorongoro, Viongozi wa Baraza la Wafugaji Ngorongoro na Uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, kujadili utaratibu wa usimamizi wa fedha zinazotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro kwa ajili ya Baraza la Wafugajji na miradi inayotekelezwa katika Tarafa ya Ngorongoro .

Fedha hizo sasa zitapelekwa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro  kutekeleza shughuli zilezile...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani