Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NITAHAMASISHA UWEKEZAJI ZAIDI MUHEZA-BALOZI ADADI

Na Mwandishi Wetu, Muheza Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapiduzi (CCM), katika jimbo la Muheza mkoani Tanga, Balozi Adadi Rajabu (Kulia akipokea fomu), amesema atapigana kufa na kupona kuingiza wawekezaji wilayani humo katika nyanja ya kilimo na utalii.
Akizungumza baada ya kunadiwa na mgombea urais wa CCM, John Pombe Magufuli, Adadi amesema mjini hapa jana kwamba ataelekeza nguvu kubwa katika kuvutia wawekezaji ili kuiinua Muheza kiuchumi.
Magufuli, aliyemnadi Adadi kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Uongozi mzuri siri ya maendeleo Muheza - Adadi Rajabu

Na Mwandishi wetu, Muheza  Ushirikishwaji wa wananchi na uongozi mzuri ni nyenzo muhimu za kuleta maendeleo katika wilaya ya Muheza, mkoani Tanga.  Akihutubia wananchi waliojitokeza kumuunga mkono mwishoni mwa wiki wilayani Muheza, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Adadi Rajabu alisema maendeleo duni katika wilaya hiyo yametokana na uongozi mbaya. Alikua akichukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Muheza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).  “Muda wa mabadiliko umefika,” alisema...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi adadi amtembelea balozi mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga

 Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Mhe Adadi Rajabu akiwa na  Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga, Jumeirah, Dubai, leo Mhe Adadi yuko Dubai kwa ziara ya kikazi

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Adadi Rajabu aipa changamoto bandari Dar

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Adadi Rajabu ameishauri Bandari ya Dar es Salaam kuongeza kasi ya kushusha mizigo ya wafanyabiashara wa Zimbabwe ili kuimarisha uhusiano wa kiuchumi.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MENEJA WA UWEKEZAJI WA TAASISI YA UWEKEZAJI YA WALLONIA YA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Uwekezaji wa Taasisi ya Uwekezaji ya Wallonia ya Ubelgiji Bi. Dominique Badot baada ya kumaliza kikao cha maandalizi ya Ziara ya Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji inayopangwa kufanyika Tanzania mwaka huu.

 

9 years ago

Habarileo

Pinda ataka uwekezaji zaidi ufugaji wa asali

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametaka kuongezwa kwa uwekezaji katika eneo la uzalishaji asali ili sekta hiyo itoe mchango unaostahili katika uchumi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Chama cha Kuendeleza Ufugaji Nyuki Nchini (TABEDO) juzi, Pinda alisema sekta hiyo ikipewa kipaumbele zaidi uzalishaji utaongezeka na hivyo kutoa mchango mkubwa katika uchumi wa taifa kutokana na Tanzania kuwa na maeneo mengi yanayofaa kwa ajili ya ufugaji nyuki.

 

11 years ago

Mwananchi

Wachumi wataka uwekezaji zaidi sekta ya kilimo

>Serikali imetakiwa kuwekeza zaidi  katika kilimo na kuandaa mipango na sera zitakazowanufaisha wakulima wa ngazi ya chini.

 

9 years ago

Mwananchi

Sekta za tisa za uwekezaji zitakazolipa zaidi mwaka 2016

Tunakaribia mwishoni mwa mwaka 2015. Hakuna jipya tena unaloweza kufanya ndani ya wiki moja zaidi ya kujipanga kwa mwaka ujao.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI KAMALA ABAINISHA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI ZINAZIPATIKANA TANZANIA

Balozi wa Tanzania Ubelegiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akibainisha fursa za biashara na uwekezaji zinazopatikana Tanzania katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji linalofanyika Genval Ubeligiji.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA MUHEZA WAHAMASIKA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII, ZAIDI YA KAYA 65 ZENYE WANACHAMA 390 WAHAMASIKA NA KUJIUNGA PAPO HAPO

  Mkuu wa wilaya ya Muheza Subira Mgalu kushoto akipokea risiti ya malipo mara baada ya kujiunga kuwa mwanachama wa mfuko wa afya ya Jamii (CHF) leo wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo iliyofanyika kwenye Kata ya Potwe wilayani humo anayemkabidhi risiti hiyo ni Afisa Tabibu wa Zahanati ya Potwe wilayani humo Dr.Samweli Mudhihiri ambapo zaidi ya kaya 65 zenye wanachama 390 walihamasika na kujiunga papo hapo. PICHA ZOTE NA OSCAR ASSENGA,TANGA.  Picha namba moja ni  Mkuu wa wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani