UONGOZI WA UMOJA WA WENYEVITI SERIKALI ZA MTAA KUONANA NA RAIS KIKWETE
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mtambani 'A' Kata ya Jangwani, Ally Sultan Hamed (katikati), Habiba Mondoma Katibu wa Umoja wa wenyeviti wa serikali za mtaa (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kigogo-Mbuyuni, Baraka James wakiwa katika mkutano na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakifuatilia tukio. Baadhi ya wenyeviti wa…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Bado nahitaji kuonana na Rais Kikwete
AGOSTI 26, 2013 nilituma maombi kwa mkuu wa nchi, Rais Jakaya Kikwete kupitia andiko la gazeti hili lililosomeka kuwa: “Nahitaji kuonana na Rais Kikwete.’ Nilitanguliza angalizo kwa wasaidizi wake kwamba...
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Padri Wootherspoon: Natamani kuonana na Rais Kikwete nimweleze ukweli
11 years ago
MichuziRais Kikwete ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Umoja wa Afrika,Mjini Malabo, Equatorial Guinea
11 years ago
Dewji Blog27 Jun
Rais Kikwete ashiriki mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali za Umoja wa Afrika, Mjini Malabo, Equatorial Guinea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na ujumbe wa Tanzania kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Mjini Malabo, Equatorial Guinea. Miongoni mwa masuala muhimu yanayotarajiwa kujadiliwa kwenye mkutano huu ni bajeti ya umoja huo na mkakati wa kukusanya maoni kutoka nchi wanachama kuhusu Afrika ifikapo mwaka 2063, ambapo umajo huu utafikisha miaka mia moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho...
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Mtoto wa Rais wa awamu ya tano Zanzibar kuboresha ofisi ya serikali ya mtaa kata ya Tabata
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi Cheti, Mwenyekiti wa UWT ambaye pia ni Kaimu Katibu wa CCM wa Tabata Relini, Shahani Mtwawa, wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake mgeni rasmi huyo, aliahidi...
9 years ago
Dewji Blog17 Sep
Rais Kikwete azindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF Towers mtaa wa Sokoine Jijini Dar
9 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AZINDUA MAJENGO PACHA YA GHOROFA 35 YA PSPF TOWERS MTAA WA SOKOINE JIJINI DAR ES SALAAM
5 years ago
MichuziRAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati wakiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
10 years ago
Habarileo10 Aug
Magufuli asifia uongozi wa Rais Kikwete
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, amekiongoza chama hicho kwa misingi imara iliyodumisha umoja na mshikamano. Amesema iwapo Watanzania watamchagua kuwa rais, atasimamia ilani ya uchaguzi ijayo na kwamba hatawaangusha.