Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Upelelezi kesi ya ugaidi Dar haujakamilika’

UPANDE wa mashtaka umeomba kuongezewa muda wa kukamilisha upelelezi katika kesi ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi inayokabili watu 17.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Upelelezi kesi ya Shehe Farid haujakamilika’

Shekhe Farid Hadi AhmedUPELELEZI wa kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake bado haujakamilika.

 

5 years ago

Michuzi

UPELELEZI KATIKA KESI YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA ZAIDI YA KILO 270 INAYOMKABILI RAIA WA NIGERIA, WATANZANIA WAWILI BADO HAUJAKAMILIKA


Na Karama Kenyunko, Michuzi TV

UPELELEZI katika kesi ya kukutwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 270 inayomkabili Raia wa Nigeria, David Chukwu (38) na Watanzania wawili katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu bado haujakamilika.

Mbali na Chukwu ambaye ni Mkazi wa Masaki, washitakiwa wengine ni Isso Lupembe (49) Mkazi wa Mbezi na Allistair Mbele (38).

Wakili wa Serikali, Ester Martin alidai jana mbele ya Hakimu Mfawidhi Godfrey Isaya kuwa kesi hiyo imekuja kwa ajili ya kutajwa na kwamba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upelelezi kesi ya ugaidi bado

UPELELEZI wa kesi ya kuwaagiza watu kufanya makosa mbalimbali ya kigaidi nchini inayowakabili watu 16 iliyopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, bado haujakamilika. Waendesha mashitaka wa...

 

10 years ago

Habarileo

Upelelezi wa kesi ya Uamsho bado

KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi bado wanasota rumande kwa kwa kuwa upelelezi wa kesi bado haujakamilika.

 

10 years ago

Mwananchi

Upelelezi kesi ya Dk Mvungi kitendawili

Upelelezi wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi bado ni kitendawili.

 

11 years ago

Michuzi

UPELELEZI KESI YA MBASHA WAKAMILIKA

Na Mwene Said wa Globu ya Jamii MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, imeambiwa kwamba upelelezi wa kesi ya ubakaji inayomkabili Msanii Emmanuel Mbasha (32) - pichani - na mume wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, umekamilika.  Hatua hiyo imefikiwa leo mbele ya Hakimu Mkazi Mh. Wilberforce Luago aliyepangiwa kusikiliza kesi hiyo.  Wakili wa Serikali Nassoro Katuga alidai kuwa kesi hiyo ilipangwa kutajwa jana na kwamba upelelezi wake umekamilika. “Mheshimiwa kwa kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Upelelezi kesi ya Gwajima wakamilika

Upelelezi wa kesi zinazomkabili, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, umekamilika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upelelezi kesi ya Madabida wakamilika

UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya kusambaza dawa za kupunguza makali ya ukimwi (ARVs) inayomkabili  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake...

 

10 years ago

Mtanzania

Upelelezi kesi ya Mchungaji Gwajima wakamilika

gwajimaNA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
UPELELEZI wa kesi inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwajima na wenzake watatu umekamilika na kesi inatarajiwa kuanza usikilizwaji wa awali Julai 2, mwaka huu.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Shadrack Kimaro aliifahamisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana wakati kesi hiyo ilipokuwa inatajwa.
Mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa, Kimaro alidai kesi ilikuwa inatajwa, lakini upelelezi wa kesi hiyo umekamilika hivyo aliomba tarehe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani