Upinzani washtumu kuondoka kwa Bashir
Chama cha upinzani nchini Afrika ya Kusini kimetaka uchunguzi kufanywa nchini humo kufuatia hatua ya serikali kushindwa kumkamata rais wa Sudan Omar el Bashir ambaye ameshtakiwa na mashtaka ya mauaji ya kimbari katika mahakama ya ICC.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Omar al Bashir aapishwa kwa muhula wa 6
9 years ago
BBCSwahili01 Sep
Bashir awasili Uchina kwa ziara rasmi
9 years ago
Habarileo08 Nov
‘Kuondoka kwa Busungu kumeniumiza’
MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya Mgambo JKT inayoshiriki katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Fuluzulu Maganga, amesema kufifia kwa kiwango chake msimu huu kumetokana na kuondoka kwa pacha wake Malimi Busungu aliyejiunga na Yanga msimu huu.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QdvKqum2Dy-W6X8xk6I*Lnl0AXDJZIW0871kbgP-hHP1v*aTroNpY8IM5uFcr-2v6UaWgUMwZGBxNzY0os*KuuT/YANGAFC.jpg?width=650)
Yanga yabariki kuondoka kwa Niyonzima
9 years ago
Habarileo27 Aug
Timu ya Afrika kuondoka kwa mafungu
TIMU ya Tanzania itakayoshiriki katika mashindano ya Mataifa ya Afrika yatakayofanyika Brazzaville, Congo itaondoka kwa awamu tatu, imeelezwa. Tanzania katika michezo hiyo itakayoanza Septemba 4 hadi 19 itawakilishwa na timu za ngumi, kuogelea, soka la wanawake (Twiga Stars), Paralympic, riadha na judo.
9 years ago
MichuziWANAFUNZI 65 KUONDOKA KWA MASOMO NCHINI CHINA
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Link Education (GEL),Abdumaalik Mollel wakati akitoa mafunzo kwa wanafunzi 65 wanaokwenda nchini China kwa masomo ya elimu ya juu.
Mollel amesema vyuo vya nje ambavyo vinashirikiana na GEL vina ubora wa elimu pamoja na kuwa na vitendea kazi vinavyoweza kufanya mwanafunzi afanye...
9 years ago
Mtanzania28 Aug
Mbunge amlilia Samia kuondoka kwa Lowassa
Patricia Kimelemeta, Namanga
ALIYEKUWA Mbunge wa Longido, Michael Lekule Laizer, amemweleza mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, kwamba kitendo cha Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhama chama hicho, kimegawa wananchi wa jimbo hilo.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Namanga mkoani Arusha, Laizer alisema baada ya jina la Lowassa kuenguliwa kwenye wagombea wa CCM na kuamua kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baadhi ya...
10 years ago
Habarileo10 Aug
Lowassa awapoza CUF kuondoka kwa Lipumba
MGOMBEA urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vingine vitatu vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amewapa pole wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) kwa mshituko wa kuondokewa na Mwenyekiti wao wa Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu, huku akiwataka kutovunjika moyo, bali waongeze mshikamano ili dhamira ya kuingia Ikulu iweze kutimia.
10 years ago
Bongo Movies19 Jun
‘Ramadhani’ Yamfanya Nuh Mziwanda Kuondoka kwa Shilole
Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani umemfanya msanii wa Bongo Fleva,Nuh Mziwanda kuondoka nyumbani kwa mpenzi ambaye ni msanii,Shilole ili kumpisha mpenzi wake afunge kwani hawajafunga ndoa.
Shilole ameyazungumza hayo wakati akizungumza na Clouds Fm,ratiba yake nzima ya mapishi kwenye mwezi Mtukufu na kusema kuwa mwezi huu wa Ramadhani ameacha kufanya vitu vyote vya starehe na ndiyo maana hata mpenzi wake Nuh ameondoka nyumbani kwake ili asiharibu funga yake.
‘’Nuh ameondoka nyumbani...