Uroho wa urais utawatoa roho mafisadi
WAPO Watanzania wachache wanaodhani kuwa kitendo cha Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hayati Mwalimu Julius Nyerere kuwa rais alibahatisha, hakuwa na uwezo wa kuongoza taifa hili....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Urais roho juu CCM, Ukawa
Patricia Kimelemeta na Aziza Masoud, Dar es Salaam
JOTO la kuwatangaza wagombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), linazidi kupanda huku kila upande ukimvizia mwenzake aanze kutangaza mgombea wake.
Hatua hiyo imekuja baada ya viongozi wa Ukawa katika mkutano wao na wanahabari kueleza mgombea wao atatangazwa Machi mwaka huu, lakini hadi sasa imepita miezi miwili bila kujulikana.
Wakati hayo yakiendelea ndani ya Ukawa, CCM...
10 years ago
Raia Mwema08 Jul
Wawania urais kufuru tupu, wamenajisi roho ya taifa
TUSIDANGANYANE; wawania urais 42 kwenye kinyang’anyiro hicho ni wengi mno kwa kigezo chochote kwa
Joseph Mihangwa
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Winga mafisadi
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
Watumishi mafisadi kitanzini
Serikali yaibuka na mwongozo mpya Tume ya Maadili yapewa meno makali
NA WILLIAM SHECHAMBO
SERIKALI imeendelea na mikakati ya kuwadhibiti viongozi wa umma wanaokiuka maadili na kushiriki kwenye vitendo vya wizi na ufisadi, ambapo sasa imeunda mwongozo mpya utakaotumika kuwabana.
Mwongozo huo ambao unatajwa kuwa suluhisho na mwarobaini wa watumishi wezi na wanaokwenda kinyume, pia utaipa meno zaidi ya kiutendaji, Sekretari ya Maadili ya Viongozi wa Umma, tofauti na ilivyo sasa.
Kwa sasa sheria na...
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Magufuli: Mafisadi kukiona
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli (55), amewaahidi Watanzania kuwa atawatumikia pasipo kujali itikadi zao za kisiasa na kwamba endapo atakuwa Rais, serikali yake haitavumilia wazembe, wala rushwa na wabadhirifu.
Akizungumza katika nyakati tofauti baada ya kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM kuwa mgombea wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Magufuli alisema amepokea kitendo hicho kwa unyenyekevu mkubwa na kwamba hatawaangusha...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Msirubuniwe na mafisadi - Dk Magufuli
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Mafisadi wa IPTL kuanikwa Nov 26
HATIMA ya vigogo wanaotuhumiwa kuchota fedha zaidi ya sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), itajulikana Novemba 26 mwaka huu, wakati ripoti ya...
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Watanzania msichague Mafisadi — Kasesela
Na Mwandishi wetu
WATANZANIA wametakiwa kuwaadabisha kwa kutowachagua viongozi mafisadi wanaotaka kuingia madarakani kwa kutumia fedha chafu, katika chaguzi zijazo.
Kauli hiyo, ilitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Madini nchini, Richard Kasesela (pichani) wakati wa ibada ya kuiombea nchi amani na mafanikio ya ujenzi wa Chuo cha Biblia mkoani Mbeya, yalifanyika katika Kanisa la Hossana Life Mission jijini Dar es Salaam.
Alisema endapo mafisadi hao wataingia madarakani katika cha guzi za...
10 years ago
Habarileo08 Jun
Kinana akerwa mafisadi kulindwa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea watu wanaotumia siasa kama kichaka cha kuficha dhambi zao kwa kufanya ufisadi, lakini wanapobainika, hujitetea kwa kusema wanafanyiwa hivyo kutokana na siasa.