Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania msichague Mafisadi — Kasesela

f640x480

 Na Mwandishi wetu

WATANZANIA wametakiwa kuwaadabisha kwa kutowachagua viongozi mafisadi wanaotaka kuingia madarakani kwa kutumia fedha chafu, katika chaguzi zijazo.

Kauli hiyo, ilitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Madini nchini, Richard Kasesela (pichani) wakati wa ibada ya kuiombea nchi amani na mafanikio ya ujenzi wa Chuo cha Biblia mkoani Mbeya, yalifanyika katika Kanisa la Hossana Life Mission jijini Dar es Salaam.

Alisema endapo mafisadi hao wataingia madarakani katika cha guzi za...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Msichague wanaopenda matukio, Watanzania waaswa

WATANZANIA wametakiwa kuepuka kuwachagua viongozi wanaopendelea matukio kuliko kujali wananchi wao.

 

9 years ago

Habarileo

Warioba: Msichague wasiojua historia

WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amehadharisha umma wa Watanzania kuepuka kumkubali na kumchagua kiongozi asiyejua historia ya nchi, ilikotoka na ilipo. Akieleza kushangazwa na kile alichokiita ‘wimbo’ kwamba CCM haijafanya chochote katika miaka 54 tangu ipate huru, aliwashangaa zaidi watu wanaotumia jina la Mwalimu Julius Nyerere, mwasisi wa taifa, huku wakimuona dira, lakini wakisisitiza kwamba, hakufanya chochote.

 

11 years ago

Habarileo

Nape: Chalinze msichague wapinzani

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ameasa wananchi Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani kutofanya majaribio katika kupiga kura. Amewataka kuepuka kuchagua vyama vya upinzani, akisema vinatumia muda mwingi kufanya maandamano na migomo, badala ya kutatua kero za wananchi.

 

11 years ago

Habarileo

Nape: Kiborloni msichague wapinzani

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametaka wananchi wa Kata ya Kiborloni mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, kutochagua chama cha upinzani. Nape alisema hayo jana wakati akimnadi mgombea udiwani wa CCM, Kata ya Kiborloni, Willy Aidando kwenye mkutano wa hadhara, uliofanyika katika viwanja vya Shah Tours katika Manispaa ya Moshi.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana: Msichague viongozi wezi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ametaka wananchi kutochagua viongozi wenye tabia ya wizi na dhuluma.

 

5 years ago

Michuzi

DC KASESELA:AHAMISHA KITONGOJI CHA MBINGAMA TARAFA YA PAWAGA.


Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiongea na wananchi wa kijiji cha Isele kitongoji cha Mbingama kilichopo katika tarafa ya Pawaga akiongea nao mara baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokana na kunyesha kwa mvua nyingi mwaka huu
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiongea na wananchi wa kijiji cha Isele kitongoji cha Mbingama kilichopo katika tarafa ya Pawaga akiongea nao mara baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokana na kunyesha kwa mvua nyingi mwaka huu



NA FREDY...

 

9 years ago

Habarileo

Askofu: Msichague wagombea wenye makandokando mengi

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk Barnabas Mtokambali, amewataka Watanzania kumkataa mgombea mwenye makandokando ya ufisadi na rushwa na kuelekeza nguvu kwenye masanduku ya kura ili wezi na mafisadi wasipate uongozi.

 

5 years ago

Michuzi

DC KASESELA: MARUFUKU SHEREHE ZA HARUSI BILA KIBALI CHA DMO

Mkuu wa wilaya ya iringa Richard Kasesela akitoa maagizo kwa wadau wa sekta ya afya juu ya kujilinda na maambukizi ya virusi vya CoronaMkurugenzi wa  kiwanda cha uzalishaji wa maziwa kampuni ya Asas mkoani Iringa Ahmed Asas na wadau wengine wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akitoa maagizo juu ya virusi vya Corona.
Na Frendy Mgunda IringaSERIKALI ya wilaya ya Iringa imepiga marufuku sherehe zote harusi ambazo hazina kibali maalumu kutoka kwa Mganga mkuu wa wilaya (DMO)...

 

10 years ago

Vijimambo

KASESELA AHUDHURIA IBADA YA BISHOP JOE OLSTEIN HOUSTON, TEXAS

Richard Kasesela akihudhuria ibada katika kanisa la Lakewood mjini Houston siku ya Jumapili March 15, 2015 kanisa linalotumiwa na baadhi ya Watanzania waishio hapa Houston jimbo la Texas nchini Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani