US: Maneno ya Trump ni hatari kwa usalama
Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema matamshi ya Donald Trump kwamba Waislamu wanafaa kuzuiwa kuingia Marekani ni hatari kwa usalama.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
'Mvi hatari kwa usalama'
Hilo limejitokeza huko Kilifi Pwani ya Kenya ambako wazee wamekuwa wakiuawa na watu wasiojulikana kwa kisingizio kuwa ni wachawi.
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Hatari kwa usalama wa Ndovu
Mkutano wa kimataifa kuhusu masilahi ya wanyamapori, ulifanyika mjini London siku ya Alhamisi.
9 years ago
BBCSwahili01 Jan
Putin asema Nato ni hatari kwa usalama
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametia saini karatasi mpya ya sera ya kitaifa kuhusu usalama ambayo inataja mpango wa upanuzi wa shirika la kujihami la Nato kama hatari kwa usalama.
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Maneno na Miundo ya maneno ya Kiswahili inayokanganya.
Baada ya kuandika juu ya Asili na Chimbuko la Kiswahili katika Afrika Mashariki, nitaeleza kwa muhtasari matatizo yanayoikumba lugha hii hasa katika tahajia, matamshi, maana na matumizi yake. Kwa maneno mengine, lugha ya Kiswahili hivi sasa inawakanganya watumiaji wake hasa wanafunzi wa ndani na nje ya Afrika Mashariki. Mkanganyiko huu unasababishwa na udhaifu uliopo katika taaluma ya lugha ya Kiswahili kama mofolojia, fonolojia, sintaksia na semantiki kwa waandishi na watangazaji wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6orj1uudoVA/VMOnw9ArylI/AAAAAAAG_VM/4cxNZahshv4/s72-c/001.POLISI.jpg)
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-6orj1uudoVA/VMOnw9ArylI/AAAAAAAG_VM/4cxNZahshv4/s1600/001.POLISI.jpg)
10 years ago
Habarileo24 Sep
'Maneno maneno' yamkera Waziri
WAZIRI wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amekerwa na kauli ya kuwa Bahi hawautaki mradi wa maji wa bwawa la Farkwa na kutaka maoni ya watu wachache yasiwe sababu za kukwamisha mradi huo.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Eq4lzs9ghSs/U-TInuDlO7I/AAAAAAAF96A/99zIjIxmoOw/s72-c/unnamed.png)
MGOGORO WA ZIWA NYASA: WAKATI WENZETU MALAWI WAKIPAMBANA KWA TEKNOHAMA SISI WATANZANIA BADO TUNAPAMBANA KWA MANENO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Eq4lzs9ghSs/U-TInuDlO7I/AAAAAAAF96A/99zIjIxmoOw/s1600/unnamed.png)
Google Map ni mtandao mkubwa ambo unaonyesha Ramani ya dunia nzima kwa kutumia picha ya satellite na watu wengi hususani watalii hutumia mtandao huu kabla ya kwenda mahali husika . Lakini mtandao huu huitaji watu kujaza taarifa zaidi kama kuonyesha mipaka ya...
5 years ago
BBCSwahili07 May
Virusi vya Corona: Trump ailaumu China kwa shambulio baya zaidi kwa Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani bado anasisitiza kuwa virusi vimetengenezwa maabara China
5 years ago
BBCSwahili20 Jun
Mary Trump: Kumbukumbu ya mpwa wa rais Donald Trump inayomdhalilisha rais huyo
Mary Trump anatarajiwa kutoa kitabu kinachomuelezea mjomba wake Donald Trump kama mwanaume hatari sana duniani.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania