Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushirikiano wa pamoja unatakiwa ili kujenga nidhamu ya mwanafunzi

Mama-Salma-Kikwete

 Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.

Na Anna Nkinda – Maelezo

 Ushirikiano wa pamoja unatakiwa baina ya wanafunzi, walezi, wazazi, jamii na walimu ili kuweza kujenga, kuimarisha na kukuza nidhamu , mwenendo na tabia ya mtoto jambo ambalo litaleta mafanikio chanya pamoja na kutatua changamoto za kitaaluma na kimazingira.

Hayo yamesemwa  jana  na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na walimu pamoja  na wanafunzi wa shule ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Ushirikiano wa pamoja unatakiwa ili kuhakikisha wagonjwa wanaougua saratani wanapata matibabu

img_7026-2

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.

Na Anna Nkinda – Maelezo, New York

Ushirikiano wa pamoja unatakiwa ili kuhakikisha wagonjwa  wanaougua saratani za mlango wa kizazi, matiti na  tezi dume wanapata matibabu kwa wakati na hivyo kupunguza idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa huo.

Rai hiyo imetolewa  na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mjadala wa wake wa marais wa Afrika wa kupambana na saratani za mlango wa kizazi, matiti na tezi dume uliofanyika katika kituo cha Ubunifu...

 

5 years ago

Michuzi

BASATA YAKUTANA NA WADAU WA SANAA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUJENGA MIPANGO YA PAMOJA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni kwa upande wa Zanzibar Dkt.Omar Abdalla Adam pamoja na watendaji wake wakutana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw.Godfrey Mngereza.

Lengo ni kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizi mbili kwa kuweka mipango ya pamoja ya utendaji kazi katika mwaka wa fedha 2020/2021.
Katika kikao hiki  taasisi hizi mbili zimekubaliana kufanya kazi kwa pamoja katika maeneo ya kuwajengea uwezo wasanii na wadau wa sanaa...

 

5 years ago

Michuzi

ASASI ZA KIRAIA ZAUNGANA WILAYANI ILALA KWA AJILI YA KUJENGA NGUVU YA PAMOJA ILI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI

 Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii

KUENDELEA kukithiri kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi wilayani Ilala jijini Dar es Salaam , asasi mbalimbali za kiraia wilayani humo  zimeungana kwa ajili ya kujenga nguvu ya pamoja kuhakikisha wanakabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia yanchi.

Miongoni mwa nguvu wanayotaka kujenga katika wilaya hiyo ni pamoja na  kuhakikisha kunakuwa wa kutosha kwa jamii kuhusu mabadiliko ya tabianchi ambapo watapata nafasi   na uwezo wa kuripoti...

 

10 years ago

Mwananchi

Kipaji ni pamoja na nidhamu

Mchezaji hata kama atakuwa na kipaji kizuri kiasi gani uwanjani, kuna jambo moja lazima awe nalo. Ingawa jambo hili halihusiani moja kwa moja na uwezo au kipaji chake, lakini lina nafasi kubwa ya kumfanya kuendelea kujenga kipaji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanafunzi ‘aiba’ basi ili asikose mtihani

Mwanafunzi mmoja wa shule ya upili Afrika Kusini aliiba basi na kulitumia kufika shuleni ili asikose mtihani wa somo la hesabu.

 

9 years ago

Michuzi

PPF, NHIF WAFANYA BONANZA LA PAMOJA KUONYESHA USHIRIKIANO


 Kipa wa timu ya soka ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akichupa kuzuia mpira wa penati bila mafanikio wakati timu hiyo ilipomenyana na ile ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, NHIF, wakati wa bonanza la pamoja la taasisi hizo mbili lililoandaliwa na PPF na kufanyika kwenye viwanja vya Chuo Cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam leo Septemba 5, 2015. Katika bonanza hilo ambalo mgeni rasmi alikuwa Mkurugenzi wa Uwekezaji wa PPF, Steven Alfred, akimwakilisha Mkurugenzi...

 

11 years ago

Michuzi

TIC yasaini mkataba wa ushirikiano wa pamoja na Kampuni ya Tanga Fresh Ltd

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Bi. Chiku Gallawa (katikati)  akikata utepe kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa programu ya mwaka mmoja ya  kutoa elimu ya biashara kwa wajasiriamali wadogo wapatao 60 kutoka katika vituo mbalimbali vya kupoozeshea maziwa katika mkoa huo mwishoni mwa wiki mjini Tanga.  Programu hiyo itaendeshwa na Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kwa kushirikiana na kampuni ya Tanga Fresh Ltd.  Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Bi. Juliet Kairuki na Meneja Mkuu wa kampuni ya Tanga...

 

9 years ago

GPL

PPF, NHIF WAFANYA BONANZA LA PAMOJA KUONYESHA USHIRIKIANO‏

 Mazoezi ya viungo kwa wote.

 Mkurugenzi wa Uwekezaji, Mfuko wa Pensheni wa PPF, Steven Alfred, (mbele kushoto), akimwakilisha mkurugenzi mkuu wa mfuko huo alipoungana na wafanyakazi wa PPF na wale wa NHIF kwenye mazoezi ya viungo.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Magufuli amshawishi MO kujenga kiwanda Singida ili kutoa fursa ya ajira

IMG_4556

Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akimwaga sifa kwa aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida Mjini (Mbunge Mstaafu), Mohamed Dewji baada ya kutumikia vyema na kwa uadilifu kiti chake cha Ubunge jimboni humo wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea urais huyo kwa tiketi ya CCM uliofanyika katika viwanja wa Peoples mjini humo.

Na Nathaniel Limu, Singida

MGOMBEA urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli,amemshawishi aliyekuwa mbunge wa jimbo la Singida mjini Mohammed...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani