Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKU WA MATUMAINI 2014 UMOJA KWANZA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 NI VITA

Umewahi kujiuliza nini kitatokea endapo waheshimiwa wabunge, Hamis Kigwangala wa Nzega na Mwigulu Nchemba wa Iramba Magharibi wakiziweka suti zao pembeni na kupanda ulingoni, nani atamkalisha mwenzake? Itakuwa vita! D.k Hamis Kigwangala mbunge wa Nzega. Basi hicho ndicho kitakachotokea kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalotimua vumbi Agosti 8, 2014 (Nane Nane) kwenye Uwanja wa Taifa ambapo waheshimiwa hao watanyukana...

 

11 years ago

GPL

USIKU WA MATUMAINI 2014 KUFANYIKA NANENANE

Meneja Mkuu wa Global Publishers waandaaji wa Tamasha la Usiku wa Matumaini, Abdallah Mrisho (katikati) wakati akiongea na wanahabari (hawapo pichani) mwaka jana katika maandalizi ya tamasha hilo. PICHA ZOTE NA MAKTABA) GOOD news kwa wananchi wazalendo wa Tanzania ni kwamba lile tamasha kubwa la kuhamasisha matumaini linalofanyika kila mwaka, badala ya kufanyika katika Sikukuu ya Sabasaba kama ilivyokuwa mwaka jana, mwaka huu...

 

11 years ago

GPL

NYOMI NDANI YA USIKU WA MATUMAINI 2014

Nyomi iliyokusanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar kwa ajili ya Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014.…

 

11 years ago

GPL

USIKU WA MATUMAINI 2014 NDO MPANGO MZIMA

LILE Tamasha kubwa nchini Tanzania, Tamasha la Usiku wa Matumaini mwaka huu litatimua vumbi Agosti 8 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar. Usikose!

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014: NOMA SANAAA

Mpango mzima utakuwa ni Agosti, mwaka huu wakati Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 litakapochukua nafasi akatika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo mastaa kibao wakiwemo Ali Kiba, staa wa songi la Johnny, Yemi Alade kutoka Nigeria, Juma Nature, Madee, R.O.M.A Mkatoliki, Wanaume halisi na wengineo kibao wataporomosha burudani za kufa mtu siku hiyo. Tamasha hili si la… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani