Usiku wa Old Is Gold na Gusa Gusa Min band ndani ya Hugo House Kinondoni Jumapili hii
..Wadau wa mwambao kukutana kila jumapili kwenye kiotaa hicho kipya
Na Mwandishi Wetu
Ule usiku wa Old is Gold Taarab na Bendi yenye ubora katika muziki wa mwambao ya GUSA GUSA Min Band, Jumapili hii ya Mei 17 na Jumapili nyingine kila wiki watatoa burudani ya nguvu na ya aina yake kwenye ‘kiota’ kipya ndani ya Hugo House, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Shoo hiyo inatarajia kuanza kuanzia majira ya saa mbili usiku na kuendelea, ni ya aina yake kwa wadau na wapenzi wa taarab...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo16 May
GUSA GUSA MIN BAND NDANI YA USIKU WA OLD IS GOLD HUGO HOUSE KINONDONI JUMAPILI HII MEI 17
Ule usiku wa Old is Gold Taarab na Bendi yenye ubora katika muziki wa mwambao ya GUSA GUSA Min Band, Jumapili hii ya Mei 17 na Jumapili nyingine kila wiki watatoa burudani ya nguvu na ya aina yake kwenye ‘kiota’ kipya ndani ya Hugo House, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Shoo hiyo inatarajia kuanza kuanzia majira ya saa mbili usiku na kuendelea, ni ya aina yake kwa wadau na wapenzi wa taarab nchini huku...
10 years ago
VijimamboGusa Gusa Min band ndani ya Usiku wa Old is Gold Safari Carnival Jumapili hii
BENDI ya taarab ya 'Gusa Gusa Min Band,' inatarajiwa kurindima tena Jumapili hii katika usiku wa Old is Gold Taarab , ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, uliopo Mikochezni B, jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, kila Jumapili bendi hiyo ya Gusa Gusa imekuwa ikitoa burudani ya kipekee kwa nyimbo za taarab zikiwemo za zamani na zile za kisasa huku ikikusanya mashabiki lukuki.
Aidha, alisema muimbaji...
10 years ago
MichuziGusa Gusa Min band ndani ya Usiku wa Old is Gold Safari Carnival kila Jumapili
Na Andrew ChaleBendi ya taarab ya 'Gusa Gusa Min Band,' inatarajiwa kurindima kila Jumapili katika usiku wa Old is Gold Taarab ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikochezni B, jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, kila Jumapili bendi hiyo ya Gusa Gusa itakuwa ikitoa burudani ya kipekee kwa nyimbo za taarab zikiwemo za zamani na zile za kisasa."Kila jumapili kwa kiingilio cha sh 5,000 tu. Wapenzi wa muziki wa mwambao ...
10 years ago
Dewji Blog15 Mar
Gusa Gusa Min band ndani ya Usiku wa Old is Gold Safari Carnival Jumapili ya leo
.. Njoo tufurahie pamoja kusherekea siku ya Mama Duniani (Mother’s Day)
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Bendi ya taarab ya ‘Gusa Gusa Min Band,’ itatoa burudani ya aina yake Jumapili ya Machi 15 katika usiku wa Old is Gold Taarab pamoja na kusherehekea siku ya Mama Duniani (Mother’s Day) ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, uliopo Mikochezni B, jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, alibainisha kuwa, bendi hiyo ya...
10 years ago
Vijimambo07 Jan
GUSA GUSA MIN BAND NDANI YA OLD IS GOLD SAFARI CARNIVAL KILA JUMAPILI
Na Andrew ChaleBendi ya taarab ya 'Gusa Gusa Min Band,' inatarajiwa kurindima kila Jumapili katika usiku wa Old is Gold Taarab ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikochezni B, jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, kila Jumapili bendi hiyo ya Gusa Gusa itakuwa ikitoa burudani ya kipekee kwa nyimbo za taarab zikiwemo za zamani na zile za...
10 years ago
Dewji Blog04 Jan
Usiku wa Old is Gold Taarab kila Jumapili ndani ya Safari Carnival
Na Andrew Chale
USIKU wa Old is Gold taarab unatarajiwa kurindima ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikochezni B, kwa wadau kupata burudani ya muziki wa mwambao wa kizamani.
Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin alieleza kuwa ni kila Jumapili ndani ya ukumbi huo utakuwa na burudani ya kipekee kwa nyimbo za mwambao pamoja na ‘surprise’ mbalimbali kwa watakaofika hapo.
“Kila jumapili kwa kiingilio cha sh 5,000 tu. Wapenzi wa muziki wa...
10 years ago
MichuziUsiku wa Old is Gold taarab kila Jumapili ndani ya Safari Carnival, Kawe.Dar es salaam
10 years ago
MichuziUsiku wa Old Is Gold wahamia Thai Village - Spice Modern Taarab kuendeleza makali Jumapili hii
NA ANDREW CHALEUSIKU wa ‘Old Is Gold’ na Spice Modern Taarab, unatarajiwa kurindima kwa kishindo Jumapili ya kesho Desemba 7, ndani ya ukumbi wa Thai Village uliopo Masaki, jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, mwandaaji na mdhamini wa onyesho hilo, mashabiki wa Old Is Gold watakuwa wakikutana katika kiota hicho kipya cha burudani kila jumapili kukumbushana enzi.“Kwa kiingilio cha sh 5,000 tu, wadau watafurahia shoo kabambe kutoka kwa...
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Yanga, Etoile gusa unase