Utafiti: Hakuna ugaidi wa kadri au wenye misimamo mikali
Utafiti unasema kuwa ni vigumu kutofautisha kati ya wapiganaji wenye msimamo wa kadri au wale wenye misimamo mikali
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili30 Oct
UN yahimiza mataifa kuacha misimamo mikali Syria
Katibu Mkuu wa UN Ban Ki-moon ametoa wito kwa mataifa kuweka kando misimamo mikali wakati wa mashauriano kuhusu mapigano yanayoendelea nchini Syria mjini Vienna.
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Apr
Hakuna tishio la ugaidi Mwanza-Mulongo
PETER KATULANDA, MWANZA
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magessa Mulongo, amesema mkoa huo uko salama na hakuna tishio lolote la ugaidi.
Alisema Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa imejipanga kukabiliana na tishio lolote linaloweza kujitokeza.
Mulongo aliwataka wananchi wa mkoa huo kuendelea na shughuli zao kama kawaida na wasiwe na hofu yoyote.
Alisema hayo jana mjini hapa wakati akitoa taarifa ya hali ya usalama ya mkoa huo kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Amina Makilagi, kwenye...
10 years ago
BBCSwahili17 Feb
Utafiti:Wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa
Utafiti unaonesha kuwa ni kweli wanaume wanapendelea wanawake wenye makalio makubwa
11 years ago
Mwananchi14 Feb
SAIKOLOJIA&UTAFITI: Leo ni siku mbaya kwa wenye wapenzi wa ovyo
>Leo ni Siku ya Wapendanao ‘Valentine Day’. Lengo hasa la siku hii ni kuonyesha upendo kwa watu au mtu ambaye unampenda kwa dhati.
10 years ago
Bongo508 Dec
Utafiti waitaja Tanzania miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya Afrika!
Kwa mujibu wa ripoti ya World Giving Index 2014, Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya barani Afrika. Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliodhaminiwa na Charities Aid Foundation (CAF) na kufanywa na kampuni ya utafiti ya Gallup na kuhusisha nchi 135 duniani kote. Data hizo zilikusanywa kuanzia mwaka 2013. Tanzania ilikamata […]
11 years ago
MichuziHAFLA YA KUFUNGA MAFUNZO YA WADADISI NA WAHARIRI WA MADODOSO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WA MWAKA 2014
Baadhi ya Wadadisi na Wahariri wa Madodoso ya Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014 , katika ngazi ya Kanda ya Pwani na Kusini yenye Mikoa ya Mtwara , Lindi, Dar es Salaam , Pwani na Morogoro ambao walishiriki mafunzo ya wiki tatu, mjini hapa , wakimsikiliza mgeni rasmi ( hayupo pichani) wakati wa kufunga mafunzo hayo
Baadhi ya Wadadisi na Wahariri wa Madodoso ya Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014 , katika ngazi ya Kanda ya Pwani na Kusini...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania