Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti: Ngono ya mdomo ni hatari

Leo ni siku ya Saratani Duniani. Wakati tunaadhimisha siku hii hapa nchini idadi ya vijana ambao ni tegemeo la taifa inazidi kupungua kutokana kuangamia kwa saratani ikiwemo ya koo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Picha za ngono ni hatari kwa afya ya ubongo

Utandawazi na ongezeko la maarifa katika teknolojia ya vifaa ya mawasiliano ya kidijitali, umesababisha kusambaa picha na video za ngono.

 

10 years ago

Dewji Blog

Utafiti waibua makubwa ngono za utotoni Dar

DSC_0140

Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha SAMPULI tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono mwishoni mwa wiki kwenye kituo cha maelezo ya afya Muhimbili katika idara ya magonjwa ya akili. Kulia ni Mtathmini kiongozi wa mradi huo, Mrema...

 

10 years ago

GPL

UTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI DAR‏

Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kukamilisha SAMPULI tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono mwishoni mwa wiki kwenye kituo cha maelezo ya afya Muhimbili...

 

10 years ago

Mtanzania

UTAFITI: Wanafunzi shule za msingi wakithiri kwa ngono

Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kitengo cha magonjwa ya afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha sampuli tathmini ya matokeo ya mradi huo uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono. kulia ni mtathmini kiongozi wa mradi huo, Mrema Kilonzo. Na Mppigapicha Wetu

Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kitengo cha magonjwa ya afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha sampuli tathmini ya matokeo ya mradi huo uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono. kulia ni mtathmini kiongozi wa mradi huo, Mrema Kilonzo. Na Mppigapicha Wetu

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

UTAFITI uliofanywa na mradi wa PREPARE...

 

10 years ago

Michuzi

UTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI JIJINI DAR

DSC_0140Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha SAMPULI tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono mwishoni mwa wiki kwenye kituo cha maelezo ya afya Muhimbili katika idara ya magonjwa ya akili. Kulia ni Mtathmini kiongozi wa mradi huo, Mrema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Uzito mkubwa ni hatari

Utafiti uliofanyika nchini Sweden umebaini kuwa uzito mkubwa kwa vijana wadogo unaweza kusababisha Saratani ya utumbo hapo baadae

 

10 years ago

BBCSwahili

Sigara za Kielektroniki hatari:Utafiti

Watafiti wa afya kutoka Marekani wameonya matumizi ya sigara za kielektroniki zilizoandaliwa zinaweza kuwa na madhara.

 

9 years ago

BBCSwahili

Utafiti: Uongozi ni ‘hatari kwa maisha’

Utafiti uliofanywa kuhusu afya ya viongozi wa mataifa mbalimbali umebaini kuwa huwa wanazeeka haraka na kupoteza miaka mitatu katika muda wao wa kuishi kwa sababu ya uongozi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Utafiti waonesha hatari ya sigara, China

Utafiti mpya umeonya kuwa sigara ina uwezo wa kuua kijana mmoja kati ya vijana watatu nchini China.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani