Utafiti: Uongozi ni ‘hatari kwa maisha’
Utafiti uliofanywa kuhusu afya ya viongozi wa mataifa mbalimbali umebaini kuwa huwa wanazeeka haraka na kupoteza miaka mitatu katika muda wao wa kuishi kwa sababu ya uongozi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Utafiti: Mtindi kinga dhidi ya kemikali hatari kwa wajawazito na watoto
9 years ago
Bongo531 Dec
Utafiti: Upungufu wa nguvu za kiume huongeza hatari ya kupoteza maisha mapema kwa asilimia 70
![Anorgasmia](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Anorgasmia-300x194.jpg)
Ni kitu kinachofedhehesha ambacho huathiri shughuli ya mwanaume kitandani.
Lakini sasa, wanasayansi wameonya kuwa upungufu wa nguvu za kiume ambao kitaalam hujulikana kama (erectile dysfunction) unaweza kuwa na athari katika maisha ya mwanaume.
Wamebaini kuwa wanaume wenye matatizo hayo wana asilimia 70 ya kufa mapema. Hii ni kwasababu tatizo hilo lina uhusiano na magonjwa ya moyo.
Kwa kawaida, upungufu wa nguvu za kiume umekuwa ukichukuliwa kama kitu kinachoathiri watu wenye umri mkubwa....
5 years ago
BBCSwahili23 May
Virusi vya corona: Hdroxychloroquine inaongeza hatari ya kifo' kwa wagonjwa wa Covid, utafiti unasema
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3g-3z0DGcVA/Vng8a84bdqI/AAAAAAAAIb0/iXnF-YEKJpA/s72-c/B%2B1.jpg)
Hospitali ya ApolloYatoa “Zawadi ya Maisha†kwa Kufanikisha Upandikizaji wa Moyo na Ini kwa Kijana wa umri wa Miaka 30
![](http://1.bp.blogspot.com/-3g-3z0DGcVA/Vng8a84bdqI/AAAAAAAAIb0/iXnF-YEKJpA/s640/B%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9DHefR-JxH4/Vng8a6dAevI/AAAAAAAAIb4/BNhqyTPcnWw/s640/B.jpg)
Na Mwandishi Wetu,
Hospitali za Apollo zimefanikiwa kwa mara ya kwanza barani Asia kufanya...
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Hospitali ya Apollo yatoa “Zawadi ya Maisha†kwa kufanikisha upandikizaji wa Moyo na Ini kwa kijana wa umri wa Miaka 30
Ponnar, kijana aliyefanyiwa upandikizaji wa Moyo na Ini kwa pamoja, katika hospitali ya Apollo akizungumza na waandishi wa habari baada ya upandikizaji huo.
![](http://1.bp.blogspot.com/-9DHefR-JxH4/Vng8a6dAevI/AAAAAAAAIb4/BNhqyTPcnWw/s640/B.jpg)
Ponnar, kijana aliyefanyiwa upandikizaji wa Moyo na Ini kwa pamoja, akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa hospitali ya Apollo baada ya upandikizaji. Aliyemkumbatia ni Mwenyekiti na Mwanzilishi wa hospitali za ApolloDk. Prathap .C. Reddy.
Na Mwandishi Wetu,
Hospitali za Apollo zimefanikiwa kwa mara ya kwanza barani Asia kufanya...
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Utafiti: Ngono ya mdomo ni hatari
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Sigara za Kielektroniki hatari:Utafiti
10 years ago
BBCSwahili26 May
Utafiti:Uzito mkubwa ni hatari
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Utafiti waonesha hatari ya sigara, China