Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTAFITI WA POLISI JAMII UMEONYESHA MAFANIKIO MAKUBWA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya ndani ya nchi Mbaraka Abdualwakili, akizindua chapisho la tathmini ya Polisi Jamii nchini, hafla hiyo ilifanyika jana Makao Makuu ya Polisi  Jijini Dar es Salaam. Picha Alexander Mpeka – Jeshi la Polisi  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi Bw.  Mbaraka Abdualwakil, Mwakilirishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia  ambaye ni Mkurugenzi wa utawala na rasilimali watu, Bi Selina Lyimo wakiwa Naibu Inspekta Jenerali wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Utafiti Polisi Jamii waonyesha mafanikio

JESHI la Polisi nchini limetakiwa kutumia matokeo ya utafiti wa tathmini ya Polisi Jamii uliofadhiliwa na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia kuboresha mkakati wa Polisi jamii ili kuimarisha ulinzi...

 

10 years ago

Habarileo

‘BRN imepata mafanikio makubwa’

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema imepata mafanikio makubwa kufuatia mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ambapo ufaulu umeongezeka kufikia asilimia 57 mwaka jana ikilinganishwa na mwaka juzi ambapo ufaulu ulikuwa asilimia 50.61.

 

10 years ago

Dewji Blog

Utafiti waibua makubwa ngono za utotoni Dar

DSC_0140

Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha SAMPULI tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono mwishoni mwa wiki kwenye kituo cha maelezo ya afya Muhimbili katika idara ya magonjwa ya akili. Kulia ni Mtathmini kiongozi wa mradi huo, Mrema...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi waeleza mafanikio ya utafiti kiraghbishi wa TGNP

IMG_0053

Baadhi ya wanaharakati ngazi ya jamii wakielezea mafanikio ya utafiti wa kiraghbishi unaofanywa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) katika maeneo yao ulivyokuwa chachu ya baadhi ya mabadiliko kwenye mkutano jijini Dar es Salaam.

IMG_0057

Bi. Marjorie Mbilinyi mwanachama wa TGNP Mtandao akiwasilisha mada katika semina hiyo.

IMG_0042

Baadhi ya washiriki wa semina ya kutathimini utafiti wa kiraghbishi uliofanywa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) katika baadhi ya kata za mikoa ya Morogoro, Shinyanga,...

 

10 years ago

Michuzi

Mapambano dhidi ya Ujangili nchini yaonesha mafanikio makubwa

Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma KAMATI ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imesema kuwa hatua za Serikali za kupambana na ujangili nchini zimeonesha mafanikio makubwa. Akitoa taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Kamati, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe James Lembeli (pichani) alisema kuwa pamoja na mafanikio mengine hatua hiyo imefanikiwa kukamata silaha 2000. Alisema hadi kufikia mwaka 2013, hali ya ujangili wa tembo ilikadiriwa kufikia tembo 30 kwa siku, lakini Serikali ilichukua hatua ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATAJA MAFANIKIO MAKUBWA YA AWAMU YA TANO


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma Hotuba ya Kukamilika kwa Shughuli za Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge, Bungeni Jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

******************************

15 Juni, 2020

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika kipindi cha miaka mitano imepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kurekebisha nidhamu kwa watumishi wa umma na uwajibikaji Serikalini, hivyo kuwezesha...

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel adai mwaka 2015 amepata mafanikio makubwa

Mtayarishaji wa muziki kutoka The Industry, Nahreel ameema baada ya kukabidhiwa tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki wa Bongo Flava na KTMA 2015 amepata mafanikio makubwa. Nahreel ameiambia Bongo5 kuwa mwaka huu ni mwaka ambao amekuwa busy na kazi nyingi kuliko wakati uliopita. “Demand ya mimi kuproduce wasanii imekuwa kubwa sana, tena sana, kupita hata […]

 

10 years ago

GPL

UTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI DAR‏

Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kukamilisha SAMPULI tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono mwishoni mwa wiki kwenye kituo cha maelezo ya afya Muhimbili...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa

Utafiti unaonesha kuwa ni kweli wanaume wanapendelea wanawake wenye makalio makubwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani