Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti wa Takukuru kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa haujafanyiwa kazi

Baada ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka jana, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ilifanya utafiti kwa lengo la kutoa ushauri kwa mamlaka zinazohusika juu ya namna bora ya kudhibiti vitendo vya rushwa katika chaguzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014

 Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa kilicho chini ya Taasisi ya Policy Forum,Bw. Hebron Mwakageda (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji kufanyika mwaka huu.Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Policy Forum,Bw. Israel Ilunde akifafanua jambo wakati mkutano huo na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji...

 

10 years ago

StarTV

Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.

Na, Winifrida Ndunguru

Dar Es Salaam.

15 December 2014

 

 

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.

 

 

Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.

 

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...

 

10 years ago

Habarileo

Waliovuruga uchaguzi mitaa kufukuzwa kazi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia akiongea na waandishi wa habari jana.SERIKALI imesema itachukua hatua kali ikiwemo kuwafukuza kazi, kuwavua madaraka, kuwashusha vyeo na kuwakata mishahara viongozi walioshindwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa na kusababisha kasoro na kuvurugika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya maeneo nchini.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWASIMAMISHA WAKURUGENZI WALIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

      Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI leo imetangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watano (5) huku wengine wakipewa onyo kali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akithibitisha kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi hao,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Hawa Ghasia amesema kwamba Wakurugenzi hao wametenda makosa yanayowaondolea sifa za kuwa Wakurugenzi.
“Makosa yafuatayo ndio yanayopelekea Wakurugenzi hawa kusimamishwa;Kuchelewa kuandaa vifaa vya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti kuhusu uchaguzi ujao ni halisi?

Utafiti uliofanywa na Taasisi huru ya TWAWEZA kuelekea uchaguzi mkuu ujao nchini Tanzania umepokelewa kwa hisia tofauti

 

11 years ago

Habarileo

JK: Uchaguzi serikali za mitaa kusogezwa

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulikuwa ufanyike mwezi Oktoba mwaka huu, huenda ukasogezwa mbele kutokana na kutokamilika kwa mchakato wa rasimu ya mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mikikimikiki ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa’

Wanachama 11 wa Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya kujeruhi, kuwatishia na kuwazuia maofisa wa polisi kutekeleza majukumu yao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Uchaguzi serikali za mitaa usiahirishwe’

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema hakuna haja ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kisingizio cha mchakato wa katiba kwani masuala hayo hayahusiani. Hayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani