Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTAJIRI UPO MAWAZONI, SIYO MDOMONI (2)

Dk. Reginald Mengi. Hii ni sehemu ya pili ya makala yetu ya ujasiriamali, kama tulivyoanza nayo wiki iliyopita, nikisisitiza kuwa siku zote utajiri huanzia mawazoni badala ya kuwa mdomoni kama wengi wetu tunavyokuwa. Watu wengi hufikiri kuwa ili waweze kuwa na hali nzuri kifedha, ni lazima kwanza wawe na fedha. Hii si kweli, unaweza kufikiria na hatimaye kuwa na mamilioni ya shilingi ukianzia na sifuri kabisa, kama wengi wetu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago

Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake MbagalaTabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...

 

10 years ago

GPL

WEMA JIFUNZE KUWEKA BREKI MDOMONI

Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ SALAMU nyingi zikufikie mrembo usiyechuja umaarufu tangu mwaka 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ vipi uko poa? Mishemishe zinakwendaje? Ukitaka kujua afya yangu, mimi namshukuru Mungu kwani ni mzima, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Kitambo kidogo kimepita sijakuona lakini naamini u-mzima wa afya.… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool mdomoni mwa Madrid leo

Michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya inaingia mzunguko wa pili hii leo kwa mechi za marudiano

 

11 years ago

Mwananchi

Kuwa makini na ‘lipstick’ unayopaka mdomoni

Rangi ya mdomo au ‘lipstick’ kama inavyofahamika kwa wengi ni urembo unaopendwa zaidi na wanawake.

 

11 years ago

GPL

MTOTO AUWAWA KWA KUFUNGWA PLASTA MDOMONI NA PUANI

Mtoto aliyekutwa amefariki baada ya kutupwa eneo la Kawe-Beach na kufungwa plasta mdomoni na puani.…

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Familia, polisi, kanisa wamtenga askari aliyejiua kwa risasi mdomoni

>Polisi aliyejiua kwa kujipiga risasi mdomoni, Aloyce Mafuru (24), amezikwa katika makaburi ya Mugumu, Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara bila huduma za kidini na kijeshi.

 

10 years ago

Vijimambo

ASKARI WA JESHI LA POLISI AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI YA MDOMONI MKOANI MBEYA

Askari wa jeshi lapolisi, Sajenti Patrick Kondwa amejiua kwa kujipiga risasi akiwa katika ofisi yake kwenye ghala lakuhifadhia silaha katika kituo cha polisi cha wilaya ya mbozi mkoani mbeya.Akizungumza na Paparazi wetu kwanjia ya simu, kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika na kwamba jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.Sajenti Patrick mwenye umri wamiaka 54 ,akiwa katika ofisi yake kwenye...

 

10 years ago

GPL

MHE. MAGUFULI UPO?

Na Dustan Shekidele, MOROGORO
WAKATI serikali ya awamu ya nne inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete ‘JK’ ikifanya kazi nzito ya kujenga barabara kwa gharama kubwa na kuzilinda kwa kuweka mizani ili kudhibiti magari yanayozidisha uzito, baadhi ya madereva wa mabasi wamekuwa wakikaidi kwa makusudi agizo hilo. Basi likiwa kwenye mizani baada ya kushusha abiria waliozidisha uzito. Uchunguzi uliofanywa na mwandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani