Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. MAGUFULI UPO?

Na Dustan Shekidele, MOROGORO
WAKATI serikali ya awamu ya nne inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete ‘JK’ ikifanya kazi nzito ya kujenga barabara kwa gharama kubwa na kuzilinda kwa kuweka mizani ili kudhibiti magari yanayozidisha uzito, baadhi ya madereva wa mabasi wamekuwa wakikaidi kwa makusudi agizo hilo. Basi likiwa kwenye mizani baada ya kushusha abiria waliozidisha uzito. Uchunguzi uliofanywa na mwandishi wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

HUYU NDIYE MGOMBEA MWENZA WA MHE. MAGUFULI

Mgombea urais wa CCM, Mhe. John Pombe Magufuli amemteua Mhe. Samiah Suluhu Hassan (pichani juu) kuwa mgombea mwenza katika kinyang’anyiro cha urais 2015.

 

10 years ago

GPL

MHE. MAGUFULI ANAONGOZA KWA ASILIMIA 87 YA KURA ZA MKUTANO MKUU

MATOKEO ya kura za wagombea wa Mkutano Mkuu uliokutana jana usiku ni: Mhe. John Pombe Magufuli 87%, Balozi Amina Salum Ali 10% na Dk. Asha-Rose Migiro 3%. Kwa sasa wajumbe wa Mkutano Mkuu wanaingia ukumbini ili kuendelea na kikao chao kilichoahirishwa jana na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

Global Publishers

Mhe.Magufuli, kuna hili jipu kubwa, nalo litumbue!

raisiiRais John Pombe Magufuli.

LEO ni siku ya kwanza ya mwaka huu 2016, ikiwa ni zaidi ya takriban miezi miwili tangu kufanyika kwa uchaguzi mkuu ulioiweka madarakani serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli.

Wananchi wa kada zote, wameweka imani yao kwa serikali mpya, wakiamini itaweza kutatua kero nyingi zilizokuwa zikiwakabili katika nyanja mbalimbali za maisha yao ya kila siku.

Hakika, karibu katika kila sekta, kulikuwa na vitu ambavyo vilikuwa vinakera, vinaudhi na hata...

 

10 years ago

GPL

MHE. MAGUFULI APOKELEWA KWA KISHINDO DAR, AHUTUBIA NYOMI MBAGALA

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiteremka kwenye ndege.  …Magufuli akisalimiana na wanachama wa CCM.…

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AHUTUBIA NA KUFUNGA BUNGE LA 11 JIJINI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wabunge wakati akifunga Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo tarehe 16 June 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kulihutubia na kulifunga Bunge hilo la 11 jijini Dodoma. P


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe...

 

10 years ago

GPL

MJUE KWA UNDANI MGOMBEA URAIS WA CCM, MHE. JOHN POMBE MAGUFULI

- Alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato, wakati huo ikiwa ni sehemu ya mkoa wa Kagera (sasa mkoa wa Geita).
- Mwaka 2006 – 2009, Shahada ya Uzamivu ya Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
- Mwaka 1991 – 1994, Shahada ya Uzamili ya Kemia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadaye Chuo Kikuu  cha Salford, Uingereza. - Mwaka 1985 – 1988, alisoma Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Chuo Kikuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani