Utata kuhusu hali ya mama aliyeasi dini
Mumewe mwanamke aliyehukumiwa kifo nchini Sudan kwa kosa la kuasi dini ya kiisilamu, ameambia BBC taarifa kuwa mkewe ataachiliwa ni uvumi tu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Mwanamke aliyeasi dini 'ameghushi' hati
11 years ago
BBCSwahili01 Aug
Mwanamke 'aliyeasi dini' awasili Marekani
11 years ago
CloudsFM25 Jun
Mwanamke aliyeasi dini akamatwa tena
Taarifa kutoka nchini Sudan zinasema kuwa mwanamke aliyeachiliwa hapo jana kwa kosa la kuasi dini amekamatwa tena.
Mwanamke huyo Meriam Ibrahim, alikuwa amehukumiwa kifo kwa kosa la kuolewa na mwanamume mkristo na kukana dini ya kiisilamu alikamatwa akiwa na familia yake katika uwanja wa ndege mjini Khartoum.
Watu waliomkata walikuwa wamevalia mavazi ya kiraia ingawa wanaaminika kuwa wanajeshi wa serikali.
Duru zinasema kuwa Meriam Ibrahim aliyejifungulia jela alikuwa anajiandaa kuondoka...
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Mwanamke aliyeasi dini achiliwa tena
5 years ago
BBCSwahili20 Feb
Hali ya watoto ya baadae ni ya utata, wataalamu waonya
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
Utata kuhusu kuuawa kiongozi wa IS
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
Utata kuhusu idadi ya waliouawa DRC
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Utata wazidi kuhusu mawaziri Zanzibar
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
Utata kuhusu Heroine iliyonaswa Kenya