UTEUZI WA NAIBU MABALOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Naibu Mabalozi wawili.Walioteuliwa ni Bw. Robert Kahendaguza (pichani kushoto) anayekuwa Naibu Balozi, Ubalozi wa Kudumu kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa, Geneva, Uswisi, na Bw. Msafiri Marwa (pichani chini) anayekuwa Naibu Balozi wa Tanzania London, Uingereza.
Kabla ya uteuzi huu, Bw. Kahendaguza alikuwa Kaimu Mkurugenzi, Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DHkjcS3yXKs/U0_H_e1ot6I/AAAAAAAFbfI/i1yryK3U_rA/s72-c/download.jpg)
JK AFANYA UTEUZI WA MABALOZI KUJAZA NAFASI ZILIZO WAZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-DHkjcS3yXKs/U0_H_e1ot6I/AAAAAAAFbfI/i1yryK3U_rA/s1600/download.jpg)
1. Balozi Dora Mmari Msechu (kushioto); ameteuliwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Stockholm, Sweden. Hadi uteuzi huu unafanyika Balozi Dora Mmari Msechu ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Uf6X0pKmBQE/XsAzyJpPiLI/AAAAAAAAngs/uRuiLwsqjOcSub0h4o9lkYu7AazKVXdnQCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA NAIBU WAZIRI WA AFYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Uf6X0pKmBQE/XsAzyJpPiLI/AAAAAAAAngs/uRuiLwsqjOcSub0h4o9lkYu7AazKVXdnQCLcBGAsYHQ/s200/0.jpg)
Na Mwandishi Wetu
CHATO, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Dkt. Godwin Oloyce Mollel ambaye ni Mbunge wa Siha kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.Hayo yamebainishwa muda huu na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu mjini Chato, Gerson Msigwa.Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uteuzi wa Dkt. Mollel unaanza leo tarehe 16 Mei, 2020.Dkt. Mollel anachukua nafasi ya Dkt. Faustine Engelbert...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-hNZC3-8yjBs/XmlETFbsnhI/AAAAAAAAGuE/u-3w7s4vWHsF1Rb0dB79iSKDon4PqVvyACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
NAIBU WAZIRI DKT. NDUMBARO AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, NORWAY NA KOREA
Dkt. Ndumbaro amekutana na mabalozi hao leo katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili masuala ya kuongeza ushirikiano wa kidiplomasia pamoja na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wAK3_c1QKl4/XsAu_T-AjzI/AAAAAAALqg4/7U_3UGOMUrMubTy7lqHkrJNJz9X7XSQAACLcBGAsYHQ/s72-c/Magufuli.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1TxjyclNmzvNS8CTPKaZcFuy4XRvfw4yHPDa-yg29l5uALiOq6vFDVFi42a2X6rjQs8uYnUmgMXUrDMq9RugxPdh5HuPMi15/ombeni.jpg)
UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Rais Magufuli afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Kaimu Naibu Kamishn TRA Nchini!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu jijini Dar es Salaam jioni ya leo December 30, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakisikiliza kwa makini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.
Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
Katibu Mkuu...