Utoaji zawadi waokoa bilioni 11/- za kodi
UTARATIBU wa kuwazawadia wananchi wanaotoa taarifa za ukwepaji wa kodi umeokoa Sh 11,084,166,416 za kodi ambayo ilikusanywa baada ya wasamaria 62 kutoa taarifa za vitendo vya ukwepaji wa kodi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 May
Ripoti:Uwepo wa Ewura waokoa Sh500 bilioni
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Wakwepa kodi walipa bilioni 10/-
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imekusanya Sh bilioni 10.75 kati ya Sh bilioni 80 zinazodaiwa kutoka kwa wafanyabiashara waliokwepa kodi kwa kupitisha makontena 329 bila kulipa ushuru.
Fedha hizo zimekusanywa ndani ya siku sita baada ya Rais John Magufuli kukutana na wafanyabiashara Ikulu jijini Dar es Salaam na kuwapa siku saba kulipa fedha hizo kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa...
10 years ago
Michuzi
VODACOM YALIPA KODI YA SHILINGI BILIONI 46.4

10 years ago
GPL
VODACOM YALIPA KODI YA SHILINGI BILIONI 46.4
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Wakwepa kodi watorosha Sh409 bilioni kila mwaka
10 years ago
Dewji Blog11 May
Hospitali ya AMI kufurushwa kwa kutolipa kodi ya pango ya bilioni tatu
Na Mwandishi Wetu
Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara imeamuru kufurushwa kwenye jengo hospitali ya African Medical Investment Ltd (AMI) maarufu kama Trauma Center ya Msasani Jijini Dar es Salaam, baada ya kushindwa kulipa kodi ya pango kwa zaidi ya miezi 26, inayofikia zaidi ya dola za kimarekani milioni 1.6 (zaidi ya Shilingi Bilioni tatu za Kitanzania).
Hatua hii imefikiwa baada ya mabishano ya muda mrefu ya kisheria baina ya AMI na mfanyabiashara ambaye pia ni mmiliki wa jengo hilo, Bw....
10 years ago
Michuzi
TRA YAKUSANYA ZAIDI YA SH.BILIONI 258 KWA FAINI NA KODI ZA BIDHAA ZA MAGENDO
MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA), kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita imekusanya zaidi ya Sh. Bilioni 258 zilizotokana na faini ya bidhaa mbalimbali za magendo.
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam,amesema TRA inaungana na jeshi la Polisi katika kukamata watu wanaojihusisha na usafirishaji na uuzaji wa ...
10 years ago
Michuzi11 May
Hospitali ya AMI hatarini kufurushwa kwa kutolipa kodi ya pango ya bilioni tatu
Hatua hii imefikiwa baada ya mabishano ya muda mrefu ya kisheria baina ya AMI na mfanyabiashara ambaye pia ni mmiliki wa jengo hilo, Bw. Navtej Singh...
9 years ago
Bongo504 Dec
Diamond, Vanessa, Wakazi, Mpoto na Yamoto watajwa kuwania tuzo za Kora 2016, zawadi kubwa ni sh. Bilioni 2

Hatimaye majina ya wanaowania tuzo za Kora 2016 yametangazwa rasmi leo Dec.3 , ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii watano.
Diamond Platnumz ametajwa kuwania kipengele cha Best Male- East Africa, huku Vanessa Mdee akiwania Best Female-East Africa. Wakazi anawania kipengele cha Best Hip Hop, na Yamoto Band wametajwa kuwania kipengele cha Most Promising Male Artist Of Africa, bila kumsahau Mrisho Mpoto anayewania Best Traditional Male Artist Of Africa.
Mbali na tuzo yenyewe zawadi kubwa...