Utumbo wa pacha aliyekuwa ameungana na mwenzake uko nje
Mmoja wa watoto pacha waliozaliwa wakiwa wameungana na kutenganishwa kwa upasuaji nchini India, hali yake ni mbaya na utumbo wake mkubwa sasa umetoka nje.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Jun
Sakata la pacha aliyetoka utumbo
Suala la matibabu ya mtoto mmoja kati ya pacha waliotenganishwa nchini India baada ya kuzaliwa wakiwa wameungana, limechukua sura mpya baada ya mganga mkuu wa Wilaya ya Kyela, Festo Dugange kusema hajawahi kusikia wala kumwona mtoto aliyetoka utumbo kukataliwa kutibiwa hospitalini kwake.
5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziMADAKTARI MUHIMBILI WATUMIA TEKNOLOJIA MPYA KUOKOA MAISHA YA WATOTO WANAOZALIWA UTUMBO UKIWA NJE
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
KWA mara ya kwanza madaktari bingwa wa upasuaji wa watoto kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kuokoa maisha ya watoto wawili waliozaliwa wakiwa na tatizo la tumbo kuwa wazi na utumbo kuwa nje (Gastroschisis) na kwa kutumia utaratibu madaktari hao wamefanikiwa kuwavalisha mifuko maalumu (Silo bags) ambayo haihusishi mtoto kufanyiwa upasuaji wala kupewa dawa za usingizi.
Akisoma taarifa hiyo leo jijini Dar es Salaam Daktari bingwa wa upasuaji wa...
KWA mara ya kwanza madaktari bingwa wa upasuaji wa watoto kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kuokoa maisha ya watoto wawili waliozaliwa wakiwa na tatizo la tumbo kuwa wazi na utumbo kuwa nje (Gastroschisis) na kwa kutumia utaratibu madaktari hao wamefanikiwa kuwavalisha mifuko maalumu (Silo bags) ambayo haihusishi mtoto kufanyiwa upasuaji wala kupewa dawa za usingizi.
Akisoma taarifa hiyo leo jijini Dar es Salaam Daktari bingwa wa upasuaji wa...
10 years ago
MichuziMKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA MAMBO YA NJE AAGANA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UNDP NCHINI
Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akimkabidhi Kitabu kinachoelezea Vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo nchini Mkurugenzi wa UNDP nchini, Bw. Philippe Poinsot, alipokuja kuaga mara baada ya kupata uhamisho wa kwenda kuwa Mratibu Mkazi wa UNDP nchini Moroco.Balozi Mushy akiwa katika mazungumzo na Bw. Philippe Poinsot mara baada ya kumkabidhi kitabu.Balozi Mushy (wa nne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Poinsot (wa nne kushoto) pamoja na Maafisa...
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Vijana kuathirika na saratani ya utumbo
Saratani ya utumbo miongoni mwa watu walio na umri chini ya mika 34 inatarijiwa kuongezeka maradufu miaka kumi na tano ijayo.
9 years ago
GPLDENTI ACHINJWA, ATOLEWA UTUMBO!
Inatisha! Kijana anayedaiwa ni denti wa sekondari aliyetajwa kwa jina la Manka Omari (19), mkazi wa Golani-Kimara jijini Dar, anadaiwa kuuawa kikatili kwa kuchinjwa na kutolewa utumbo na watu wenye hasira kali akituhumiwa kupora simu kutoka kwa mtu. Marehemu Manka Omari enzi za uhai wake. Tukio hilo lililozizima maeneo hayo lilitokea usiku wa manane wa kuamkia Agosti 31, mwaka huu ambapo awali inaelezwa kuwa Manka alipoteza simu...
9 years ago
GPLKALETE UTUMBO WA MBU MJAMZITO!
Kuna kitu kimethibitishwa kisayansi wiki hii, kuwa Wabongo ndiyo namba wani kwa ushirikina Afrika nzima. Yaani hata Wanaijeria na muvi zao tunazoziona kumbe hakuna kitu, sisi ndiyo mabingwa. Mi sibishi, kwani wiki iliyopita tu nililazimika kutumia mbinu hizo kumpata mdada mmoja ambaye alikuwa akihangaisha akili yangu sana tangu aanze kazi ofisini kwetu. Siku hiyo bosi kafungua mlango wa chumba cha ofisi yetu, akaingia na binti...
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Ijue hatari ya saratani ya utumbo mpana
Saratani ni mojawapo ya magonjwa ambayo hayachagui tajiri wala maskini.
Ugonjwa huu ndiyo uliomsababishia kifo mtu tajiri na mwenye akili nyingi; huyu ni mgunduzi wa mifumo ya simu za Iphone, Steve Jobs.
10 years ago
GPLMTOTO HUYU ANAISHI NA UTUMBO WA PLASTIKI
Mtoto mwenye matatizo ya tumbo, Suleiman Abdallah. Makala: Shani Ramadhani WANAMKE mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Veronica Laurent, mkazi wa Magomeni Mwembechai, jijini Dar, amejikuta kwenye wakati mgumu kwa kutelekezwa na mzazi mwenzie baada ya kujifungua mtoto akiwa na matatizo ya utumbo. CHOO CHATOKEA MDOMONI
Akizungumza na mwandishi wetu Veronica alisema mwanaye Suleiman Abdallah (4), alipozaliwa tu, choo chake...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania