Utumbuaji majipu wazaa matunda
HATUA anazozichukua Rais John Magufuli, katika kukabiliana na ufisadi ndani ya taasisi na idara za Serikali, zimeanza kuzaa matunda. Hatua hizo ambazo zinafahamika kama ‘kutumbua majipu’, pia zimeonesha kuungwa mkono na wasomi, wananchi, washirika wa maendeleo na mataifa mbalimbali ya nje.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV24 Dec
UWT Mkoa wa Iringa chaunga mkono zoezi la utumbuaji  majipu
Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi UWT mkoa wa Iringa umeuomba Uongozi wa Rais wa awamu ya tano Dokta John Magufuli kuendelea kuibua maovu yaliyofichika katika zoezi la utumbuaji wa majipu kwa madai kuwa unaziunga mkono jitihada hizo.
UWT mkoa wa Iringa umesema kauli mbiu ya “Kutumbua Majibu” imelenga kuleta tija kwa kundi kubwa la watanzania ambalo kilio chao kikuu ni hali ngumu ya uchumi.
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT Mkoa wa Iringa, Zainabu Mwamwindi...
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Mgomo wa Walimu wazaa matunda
MAANDAMANO yaliyofanywa na walimu wapya jijini hapa mwishoni mwa wiki iliyopita wakidai mishahara na marupurupu mengine yameanza kuzaa matunda, baada ya uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kukubali kuwakopesha...
11 years ago
BBCSwahili26 Jan
Mkutano wa Syria wazaa matunda, machache
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Mkwara wa Gwajima kwa Kova wazaa matunda
10 years ago
BBCSwahili09 Feb
Ushindi wa Ivory Coast wazaa sikukuu
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Magufuli atumbua Majipu 23
*Atengua uteuzi wa katibu Mkuu Uchukuzi, bosi Bandari
*Vigogo TPA wasimamishwa kazi, wawekwa chini ya ulinzi
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
MPANGO wa Rais Dk. John Magufuli wa kutumbua majipu, safari hii umegeuka na kung’oa vigogo 23 wa Mamkala ya Bandari (TPA) pamoja na kuvunja Bodi ya Wakurugenzi ya mamlaka hiyo.
Bodi hiyo ilikuwa na vigogo kadhaa akiwamo Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson na Mkurugenzi wa zamani wa Mamlaka ya Udhibiti ya Nishati na Maji (Ewura), Haruna Masebu.
Hatua ya...
9 years ago
Mtanzania21 Nov
Magufuli – Nitapasua majipu
Agatha Charles na Aziza Masoud
RAIS John Magufuli jana alilizindua Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano kwa kurejea mambo aliyoyaahidi wakati wa kampeni zake za urais huku akijipa jukumu jipya aliloliita la kupasua majipu.
Katika hotuba yake ya uzinduzi wa Bunge hilo iliyochukua muda wa masaa mawili, Rais Magufuli alisisitiza kuwa amejipa kazi ya kupasua majipu yanayoitesa serikali ili kuijenga upya Tanzania na kurejesha matumaini yaliyopotea ya Watanzania.
Hotuba hiyo ambayo ni ya kwanza...
9 years ago
Habarileo13 Dec
Mwenyekiti aapa kutumbua majipu
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Isack Mahela, amesema atafuata nyayo za Rais John Magufuli, ili ayatumbue majipu yote yaliyoko katika halmashauri hiyo, ambayo yamekuwa yakitafuna fedha za miradi ya maendeleo bila aibu.
9 years ago
Habarileo08 Dec
Magufuli aendelea kutumbua majipu
RAIS John Magufuli ameendelea kutumbua majipu katika maeneo mbalimbali yenye harufu ya ufisadi, ambapo safari hii ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk Shaaban Mwinjaka kwa ajili ya kupisha uchunguzi dhidi ya matumizi mabaya ya kiasi cha Sh bilioni 13 katika Shirika la Reli Tanzania (TRL).