UTUMISHI YAWAAGA WATAALAMU 12 WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WALIOMALIZA MUDA WA KUTOA HUDUMA NCHINI
Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bw.Koji Ueda akielezea namna alivyofanya kazi katika shule ya Sekondari Sogesca iliyoko mkoani Mwanza,katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa Utumishi leo. Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bi. Haruka Ota akielezea namna alivyofanya kazi katika Maktaba Kuu ya Taifa,wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUTUMISHI YAWAAGA WATAALAMU 12 WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WALIOMALIZA MUDA WA KUTOA HUDUMA HAPA NCHINI
Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bi. Haruka Ota akielezea namna alivyofanya kazi katika Maktaba Kuu ya Taifa,wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao...
11 years ago
MichuziOFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAWAAGA WATAALAMU 6 WALIOMALIZA MUDA WA KUJITOLEA HAPA NCHINI
10 years ago
Vijimambo24 Jul
RAIS JAKAYA KIKWETE AAGANA NA MABALOZI KUTOKA INDIA, UBELGIJI NA SWEDEN WALIOMALIZA MUDA WAO WA KAZI NCHINI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi wa India anayemaliza muda wake Mhe.Debnath Shaw wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo ameagana na mabalozi watatu wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania baada ya kumaliza muda wao wa kazi . Mabalozi walioagana na Rais leo ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Mhe.Debnath Shaw wa India,Balozi Koenraad Adam wa Ubelgiji na balozi Lennarth Hjelmaker wa Sweden.
Rais Dkt.Jakaya...
10 years ago
MichuziWataalamu wa kujitolea wakikaribishwa nchini
9 years ago
StarTV22 Dec
Mgogoro Wa Ardhi Kilosa Viongozi waliomaliza muda Tindiga waingia lawamani
Mgogoro uliozuka kati ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Tindiga wilayani Kilosa na kusababisha wakulima 16 kujeruhiwa baada ya kupigwa na wafugaji wa jamii ya kimasai umebainika kukuzwa na viongozi wa serikali ya kijiji hicho waliomaliza muda wao ambao walihodhi maeneo makubwa ya mashamba ya kijiji na kuyakodisha kwa wageni wakiwemo wafugaji.
Aidha viongozi hao wanaidaiwa kuwasaliti wanakijiji na uongozi wa kijiji ulioko madarakani kwa kutoa siri za vikao vinavyojadili mikakati ya...
10 years ago
MichuziWATAALAM WA KUJITOLEA WA KIJAPANI WAKUTANA NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS - UTUMISHI
11 years ago
Mwananchi28 Feb
NHIF kutoa huduma za upimaji bure nchini
10 years ago
MichuziJK aagana na Mabalozi waliomaliza muda wao wa India,Ubelgiji na Sweden Ikulu jijini Dar es salaam
9 years ago
MichuziTANZANIA YAPOKEA BILIONI 210 KUTOKA JAPANI