UVCCM yakemea matumizi mabaya kinga Bunge Maalumu
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekemea matumizi mabaya ya kinga waliyonayo wajumbe wa Bunge Maalumu katika mijadala.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Apr
UVCCM Kagera yakemea ushabiki Bunge la Katiba
UMOJA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Kagera, umewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuacha ushabiki wa vyama ili kufanikisha mchakato wa kupata katiba mpya.
11 years ago
Habarileo03 May
‘Andikeni matumizi mabaya ya pesa za serikali’
NAIBU Waziri wa Fedha, Adam Malima amewataka waandishi wa habari nchini, kuandika habari zenye kuonesha matumizi mabaya ya fedha za serikali kwa lengo la kuzuia matumizi mabaya na kuwaletea maendeleo wananchi.
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Je tunazilinda simu zetu na matumizi mabaya?
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Wananchi walalamikia matumizi mabaya ya fedha
WANANCHI wilayani Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha madiwani wa wilaya hiyo, kutumia fedha na kuunda tume ya watu watatu, akiwemo mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Joseph Malimbe, kwenda kumuona Katibu...
10 years ago
MichuziSERIKALI KUDHIBITI MATUMIZI MABAYA YA TEHAMA.
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Matumizi mabaya ya Serikali yalitesa Taifa la Tanzania
10 years ago
Habarileo10 Sep
Yona kuanza kujitetea matumizi mabaya ya ofisi
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona leo anaanza kujitetea mahakamani dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7.
10 years ago
MichuziMATUMIZI MABAYA YA ARDHI TISHIO KWA UHIFADHI
Na Woinde Shizza,Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema kuwa matumizi mabaya ya ardhi yasiyozingatia mpango bora wa matumizi ya ardhi yamekua tishio kwa maeneo uhifadhi hivyo kupelekea uvamizi wa maeneo hayo na kutumiwa kwa shughuli za ufugaji na kilimo kinyume cha utaratibu.
Nyalandu amesema hayo jana wakati akihutubia mkutano wa kati ya Wizara na Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori (WMAs) uliofanyika jijini hapa,amesema kuwa...
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Serikali yakiri matumizi mabaya ya fedha zake