Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uvuvi haramu, Nyavu za zaidi ya sh. mil. 200 zakamatwa.

Na Mariam Emily,

Bukoba.

 

 

Idara za uvuvi za mikoa ya Kagera na Geita zimekamata zana haramu za uvuvi zenye thamani zaidi ya shilingi milioni mia mbili katika doria ya wiki mbili iliyofanyika kwenye visiwa na fukwe za mikoa hiyo inayopakana na ziwa Victoria.

 

Hata hivyo maafisa wa uvuvi wa mikoa hiyo wameshauri kuwepo na sheria kali inayolenga kuwaadhibu watu wanaoendelea kutumia zana zisizoruhusiwa ili kutokomeza uvuvi haramu.

 

Baadhi ya makokoro kati ya makokoro sabini na saba...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ZAIDI YA KILO 200 ZA MADAWA YA KULEVYA AINA YA HEROIN ZAKAMATWA BAHARI YA HINDI

Jahazi lililokamatwa na madawa ya kulevya. ZAIDI ya kilo 200 za madawa ya kulevya aina ya Heroin yamekamatwa na kikosi cha polisi wanamaji katika Bahari ya Hindi yakisafirishwa kutokea nchini Irani pamoja na mabaharia kumi na wawili kutoka nchi ya Irani na Pakistani. Kamanda wa polisi kikosi cha wanamaji Mboje Kanga ameeleza kuwa tukio hilo lililotokea usiku wa tarehe 4 majira ya saa sita usiku ambapo waliweza kukamata jahazi...

 

5 years ago

Michuzi

NYAVU HARAM ZAKAMATWA NA KUTEKETEZWA WILAYANI BUSEGA











Jumla ya Nyavu 110, kokoro 2 na timber 32 zilizokuwa zinatumika katika uvuvi haram zimekamatwa na kuteketezwa na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Vifaa hivyo vimekamatwa kati ya tarehe 19/05/2020 na 04/06/2020 katika vijiji vya Nyakaboja kata ya Kabita na Maega Kata ya Kalemela.

Uvuvi haram umekuwa changamoto ukanda wa Ziwa Viktoria, hivyo Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya wilaya ya Busega imeanza kupambana na wavuvi wanaotumia vifaa visivyokubalika...

 

10 years ago

Mwananchi

Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa

Uvuvi usiokuwa endelevu unafanyika katika Ziwa Nyasa na kusababisha samaki adimu waliokuwapo kuendelea kutoweka mwaka hadi mwaka.

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa achangisha zaidi ya Sh. Mil 200 ujenzi wa msikiti wa Patandi Arusha

unnamed (1)

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha, Edward Lowasa akiwapungia mikono wafuasi wake waliofika katika uwanja wa msikiti mkuu katika hafla ya harambee ya ujenzi wa msikiti wa Patandi ambapo jumla ya kiasi cha zaidi ya sh,200 milioni zilipatikana katika harambee hiyo(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed

Umati mkubwa wa wananchi wa Arusha wakiwa wanampungia mkono Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha ,Edward Lowasa akiwapungia mikono...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA ACHANGISHA ZAIDI YA SH MIL 200 UJENZI WA MSIKITI PATANDI JIJINI ARUSHA

SAM_2715Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha,Edward Lowasa akiwapungia mikono wafuasi wake waliofika katika uwanja wa msikiti mkuu katika hafla ya harambee ya ujenzi wa msikiti wa Patandi ambapo jumla ya kiasi cha zaidi ya sh,200 milioni zilipatikana katika harambee hiyo.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_2723Umati mkubwa wa wananchi wa Arusha wakiwa wanampungia mkono Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha,Edward Lowasa akiwapungia mikono...

 

11 years ago

Habarileo

Doria za uvuvi haramu kuendelea

DORIA za maeneo ya hifadhi ya uvuvi, Unguja na Pemba kwa kiasi kikubwa zimepunguza uvuvi haramu uliokuwa ukifanywa na wavuvi wasiokuwa waaminifu. Mkuu wa Doria wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Shomari alisema doria hizo zinazowashirikisha wavuvi kutoka katika kamati za uvuvi za shehia zimefanikiwa kudhibiti uvuvi haramu kwa asilimia kubwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa uvuvi haramu

JESHI la Polisi mkoani Kigoma, linawashikilia watu watano wakiwemo raia wa Burundi kwa tuhuma za uvuvi haramu katika Ziwa Tanganyika eneo la kijiji cha Kiziba Wilaya ya Kigoma Vijijini, baada...

 

11 years ago

Habarileo

Zana haramu za uvuvi zateketezwa

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda ameshiriki katika hafla ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya Sh milioni 68.6. Shughuli hiyo ilifanyika wilayani Muleba mkoani Kagera.

 

11 years ago

Habarileo

Ukerewe kukabiliana na uvuvi haramu

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza limetangaza kuwa tatizo la uvuvi haramu, hasa wa kutumia sumu ni janga, hivyo kupitisha azimio la kulikabili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani