Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYAVU HARAM ZAKAMATWA NA KUTEKETEZWA WILAYANI BUSEGA











Jumla ya Nyavu 110, kokoro 2 na timber 32 zilizokuwa zinatumika katika uvuvi haram zimekamatwa na kuteketezwa na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Vifaa hivyo vimekamatwa kati ya tarehe 19/05/2020 na 04/06/2020 katika vijiji vya Nyakaboja kata ya Kabita na Maega Kata ya Kalemela.

Uvuvi haram umekuwa changamoto ukanda wa Ziwa Viktoria, hivyo Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya wilaya ya Busega imeanza kupambana na wavuvi wanaotumia vifaa visivyokubalika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Uvuvi haramu, Nyavu za zaidi ya sh. mil. 200 zakamatwa.

Na Mariam Emily,

Bukoba.

 

 

Idara za uvuvi za mikoa ya Kagera na Geita zimekamata zana haramu za uvuvi zenye thamani zaidi ya shilingi milioni mia mbili katika doria ya wiki mbili iliyofanyika kwenye visiwa na fukwe za mikoa hiyo inayopakana na ziwa Victoria.

 

Hata hivyo maafisa wa uvuvi wa mikoa hiyo wameshauri kuwepo na sheria kali inayolenga kuwaadhibu watu wanaoendelea kutumia zana zisizoruhusiwa ili kutokomeza uvuvi haramu.

 

Baadhi ya makokoro kati ya makokoro sabini na saba...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

ZIARA ya Kamani wilayani Busega, Mkoani Simiyu.

Mbunge wa Jimbo la Busega, ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, akishuhudia maji yakitiririka baada ya kukamilika kwa mradi wa maji wa Kijiji cha Manala Kata ya Badugu wilayani Busega. Kulia ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya Busega, Agatha Magonela.
Dk. Kamani akimtwisha ndoo ya maji mama mmoja mkazi wa Kijiji cha Manala, baada ya kufungua mradi huo.
Dk. Kamani akikagua msingi wa Kituo cha kulelea walemavu wa ngozi (albino) kinachojegwa katika Kijiji cha Lukungu...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA BUSEGA, PAUL MZINDAKAYA AKABIDHI POWER TILLER KWA VIKUNDI VINNE WILAYANI HUMO

MKUU wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu Paul Mzindakaya (kushoto ) akiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Charles Lukale wakati akikabidhi moja ya Power Tiller kwa vikundi vinne vinavyojishughulisha na kilimo bora wilayani humo ili viweze kuondokana na umasikini kupitia katika sekta ya kilimo. Na Shushu Joel,busega.
MKUU wa Wilaya ya Busega mkoani Simiyu Paul Mzindakaya amevikabidhi Power tTiller vikundi vinne vinavyojishughulisha na kilimo bora wilayani humo ili viweze kuondokana na...

 

9 years ago

Mwananchi

Bidhaa zinazokiuka masharti kuteketezwa

Wamiliki wa maduka watakaouza bidhaa za vyakula bila kuwa na vifungashio vinavyoonyesha lebo yenye taarifa muhimu watafungiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Kanisa la Pentekoste lanusurika kuteketezwa

Kanisa la Pentekoste Tanzania Usharika wa Tandika, Manispaa ya Temeke limenusurika kuteketezwa kwa moto. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita na mtuhumiwa alikamatwa na kufikishwa Kituo Kikuu cha Polisi Chang’ombe.

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege wa ajabu waanza kuteketezwa Bukoba

Wananchi katika Kisiwa cha Musira mkoani Kagera wameanza kuteketeza ndege waliodaiwa kutoa kinyesi chenye sumu, huku Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii ikiendelea kukalia majibu ya utafiti kuhusu ukweli wa madai hayo.

 

10 years ago

CloudsFM

WATU SABA WAFARIKI DUNIA KWA KUTEKETEZWA NA MOTO

Watu saba wameuawa kwa kuchomwa moto ndani ya nyumba katika tukio ambalo nyumba 18 ziliteketezwa na mbili kubomolewa na wananchi waliodai wanawaua wachawi katika Kijiji cha Murufiti, Kasulu, mkoani Kigoma.

Polisi wameeleza kuwa tayari watu 17 wamekamatwa kwa kuhusika kwenye tukio hilo.
Miongoni mwa waliouawa katika tukio hilo lililotokea Jumatatu iliyopita ni John Mavumba (68) na mkewe Elizabeth Kaje 55 ambao pamoja na wenzao walikuwa wakituhumiwa kuwa ni washirikina.

Akizungumza na...

 

11 years ago

Habarileo

Kilo 65 za cocaine zakamatwa KIA

DAWA za kulevya aina ya cocaine zaidi ya kilo 65, zimekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mwaka jana. Mbali ya kukamatwa kwa dawa hizo katika kipindi hicho cha mwaka mmoja, pia wafanyakazi wa uwanja huo wa Kampuni ya Kadco, walikamatwa na bangi yenye uzito wa kilo 7.7 iliyokuwa ikisafirishwa kwenda nchini Uturuki.

 

10 years ago

Vijimambo

KARAFUU ZA MAGENDO ZAKAMATWA MTAMBWE

Afisa mdhamini wa ZSTC Pemba Bw Abdulla Ali Ussi akitoa maelezo baada Magunia ya Karafuu Kavu zilizokamatwa na Kikosi chake huko katika Ufukwe wa Bahari ya Chanjaani Mtambwe , ambazo zilikuwa katika harakati ya kutaka kusafirishwa kwa njia ya Magendo., Anaemsikiliza ni Kamanda wa KMKM Zone ya Pemba, Silima Hija Hija,Kamanda wa KMKM Zone ya Pemba, Silima Hija Hija, akionesha Magunia ya Karafuu Kavu zilizokamatwa na Kikosi chake huko katika Ufukwe wa Bahari ya Chanjaani Mtambwe , ambazo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani