Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndege wa ajabu waanza kuteketezwa Bukoba

Wananchi katika Kisiwa cha Musira mkoani Kagera wameanza kuteketeza ndege waliodaiwa kutoa kinyesi chenye sumu, huku Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii ikiendelea kukalia majibu ya utafiti kuhusu ukweli wa madai hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ndege wa ajabu wavamia makazi Kagera

Ndege wa ajabu wanaosadikiwa kutoa kinyesi chenye sumu kali, wamevamia Kisiwa cha Musira kilichopo Manispaa ya Bukoba na kusababisha vifo vya mifugo na ndege wafugwao, huku ukali wa sumu hiyo ukisababisha kutoboka mabati ya nyumba zilizopo kisiwani humo.

 

11 years ago

Habarileo

Kinyesi cha ndege wa ajabu chaua mbuzi, kuku

NDEGE anayedaiwa kuwa wa ajabu, amezuka kisiwani Musira katika Manispaa ya Bukoba, ambaye kinyesi chake inadaiwa kimesababisha vifo vya mbuzi na kuku baada ya kukila. Kutokana na tukio hilo, wakazi wa kisiwa hicho, mkoani Kagera wamepigwa marufuku kusafirisha mbuzi na kuku kutoka au kuingia kisiwani humo.

 

11 years ago

Michuzi

ajabu na kweli: baba na binti waendesha ndege ya abiria ya Kenya Airways pamoja

Captain Mwangi na binti yake wakiendesha ndege ya Kenya Airways pamoja

 

9 years ago

Michuzi

UWANJA WA KAITABA BUKOBA WAANZA KUWEKWA NYASI RASMI LEO.

Na Faustine Ruta, Bukoba.
Uwanja wa Kaitaba Bukoba Umeanza kuwekwa nyasi bandia rasmi leo hii jumatatu 2 Novemba, 2015 na kutokana na maelezo ya wawekaji wamesema utachukuwa muda wa siku 14 tu. 


Wakaazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake sasa kuanza kushuhudia kipute live bila Chenga katika Uwanja huo wa Kaitaba. Timu ya Kagera Sugar nayo inatarajiwa kurudi katika Uwanja huo ambao uutumia kama Uwanja huo ambapo mpaka sasa tangu msimu uliopita wamekuwa wakitumia Viwanja vingine kwa michezo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Msako wa ndege waanza ardhini China

China imeanza juhudi za kuitafuta katika ardhi yake ndege ya Malaysia iliyotoweka mwishoni tarehe 8 mwezi Machi

 

10 years ago

Michuzi

UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOBA WAANZA KUPIGWA SOP SOP

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeanza ukarabati katika Uwanja wa Kaitaba uliopo mkoani Kagera kuanzia Januari 12,2015.
 Rais wa TFF, Jamal Malinzi alisema kuwa kutokana na ukarabati huo tayari Kagera Sugar imeshaomba kutumia Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kwa ajili ya mechi zake za nyumbani. Katika hatua nyingine, Malinzi alisema kutokana na kikao cha Kamati ya Utendaji cha FIFA kilichokutana hivi karibuni kiliweka wazi kila Mwanachama wa FIFA ataendelea kupata dola za kimalekani 600,000...

 

10 years ago

Mwananchi

Kanisa la Pentekoste lanusurika kuteketezwa

Kanisa la Pentekoste Tanzania Usharika wa Tandika, Manispaa ya Temeke limenusurika kuteketezwa kwa moto. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita na mtuhumiwa alikamatwa na kufikishwa Kituo Kikuu cha Polisi Chang’ombe.

 

9 years ago

Mwananchi

Bidhaa zinazokiuka masharti kuteketezwa

Wamiliki wa maduka watakaouza bidhaa za vyakula bila kuwa na vifungashio vinavyoonyesha lebo yenye taarifa muhimu watafungiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani