Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinyesi cha ndege wa ajabu chaua mbuzi, kuku

NDEGE anayedaiwa kuwa wa ajabu, amezuka kisiwani Musira katika Manispaa ya Bukoba, ambaye kinyesi chake inadaiwa kimesababisha vifo vya mbuzi na kuku baada ya kukila. Kutokana na tukio hilo, wakazi wa kisiwa hicho, mkoani Kagera wamepigwa marufuku kusafirisha mbuzi na kuku kutoka au kuingia kisiwani humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi kinyesi cha kuku kinavyotumika mapambano dhidi ya corona

Jinsi Sweden inavyotumia mbinu ya ajabu kupambana na maambukizi ya corona.

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka, akiteta jambo na Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu(United Arab Emirate) nchini Tanzania, Balozi Abdullah Ibrahim Al Suwaidi, kabla ya Uzinduzi wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana. Magari ya Zimamoto yakimwaga maji kuashiria uzinduzi na ukaribisho wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwl. Julius Nyerere...

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege wa ajabu waanza kuteketezwa Bukoba

Wananchi katika Kisiwa cha Musira mkoani Kagera wameanza kuteketeza ndege waliodaiwa kutoa kinyesi chenye sumu, huku Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii ikiendelea kukalia majibu ya utafiti kuhusu ukweli wa madai hayo.

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege wa ajabu wavamia makazi Kagera

Ndege wa ajabu wanaosadikiwa kutoa kinyesi chenye sumu kali, wamevamia Kisiwa cha Musira kilichopo Manispaa ya Bukoba na kusababisha vifo vya mifugo na ndege wafugwao, huku ukali wa sumu hiyo ukisababisha kutoboka mabati ya nyumba zilizopo kisiwani humo.

 

11 years ago

Michuzi

ajabu na kweli: baba na binti waendesha ndege ya abiria ya Kenya Airways pamoja

Captain Mwangi na binti yake wakiendesha ndege ya Kenya Airways pamoja

 

10 years ago

BBCSwahili

Je kinyesi cha mtoto kina madhara?

Utupaji wa choo kikubwa cha mtoto katika eneo husika na katika hali ya usafi ni muhimu kama ilivyo kwa kinyesi cha mtu mzima.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kinyesi cha panya na mkojo ndani ya vipodozi ?

Kinyesi cha panya na mkojo wa binadamu ni baadhi ya viungo vinavyotumika kutengeza bidhaa ghushi za urembo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani aeleza chanzo cha kinyesi Suwata

DIWANI wa Gerezani, Salum Bisarara (CCM), amesema kufurika kwa maji yaliyojaa kinyesi mara kwa mara katika maeneo ya Suwata kunatokana na baadhi ya wamiliki wa majumba katika makutano ya mitaa...

 

10 years ago

StarTV

Bill Gates anywa maji ya kinyesi cha binadamu.

Mmiliki wa kampuni ya Microsoft Bill Gates amekunywa maji yaliotengenezwa kutokana na kinyesi cha binaadamu kama maonyesho ya teknolojia mpya itakayoweza kutoa maji safi katika mataifa yanayoendelea.

Mwanzilishi huyo wa Microsoft amesema kuwa ataisambaza mitambo ya teknolojia hiyo mpya kote duniani baada ya kuifanyia majaribio mwishoni mwa mwaka huu.

Teknolojia hiyo imeungwa mkono na shirika la WaterAid ambalo limesema kuwa itasaidia sana katika maeneo ya miji.

Kulingana na shirika hilo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani