Kanisa la Pentekoste lanusurika kuteketezwa
Kanisa la Pentekoste Tanzania Usharika wa Tandika, Manispaa ya Temeke limenusurika kuteketezwa kwa moto. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita na mtuhumiwa alikamatwa na kufikishwa Kituo Kikuu cha Polisi Chang’ombe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMBUNGE JOSHUA NASSARI NA ANANDE NNKO WAMEREMETA KWENYE KANISA LA PENTEKOSTE KILINGA,MERU
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari na Mai Waifu wake Anande Nnko wakishangiliwa kwa shangwe mara baada ya kumeremeta kwao kwenye kanisa la Kipentekoste la Kilinga,Meru jijini Arusha.
KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
11 years ago
GPLHARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI NA ANANDE NNKO KANISA LA PENTEKOSTE KALINGA MERU, YAFANA
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Kanisa la Pentekoste Singida lamuombea Rais Magufuli nguvu ya kuendelea kutumbua majipu nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
Na Nathaniel Limu, Singida
KANISA la Pentekoste (FPCT) Tanzania la mjini kati Singida limetumia maadhimisho ya siku ya kuzaliwa (krismasi) kwa Yesu Kristo, kumwombea Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Mungu aendelee kumpa afya,nguvu na ujasiri wa kutumbua majipu.
Maombi hayo maalum,yalifanywa na waumini wa kanisa hilo wakiongozwa na mchungaji Philipo Sospeter,kwa kile kilichodaiwa kuwa Rais Magufuli ameanza vizuri kuwatumikia...
9 years ago
Mwananchi16 Oct
Bidhaa zinazokiuka masharti kuteketezwa
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Ndege wa ajabu waanza kuteketezwa Bukoba
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0N8dI9183XQ/XuHE_kUWA7I/AAAAAAAEHlw/Rv2l7SiSSIA_b-iEnypBOJdWt5ufnILhwCLcBGAsYHQ/s72-c/3-1-1-768x576.jpg)
NYAVU HARAM ZAKAMATWA NA KUTEKETEZWA WILAYANI BUSEGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-0N8dI9183XQ/XuHE_kUWA7I/AAAAAAAEHlw/Rv2l7SiSSIA_b-iEnypBOJdWt5ufnILhwCLcBGAsYHQ/s640/3-1-1-768x576.jpg)
Jumla ya Nyavu 110, kokoro 2 na timber 32 zilizokuwa zinatumika katika uvuvi haram zimekamatwa na kuteketezwa na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Vifaa hivyo vimekamatwa kati ya tarehe 19/05/2020 na 04/06/2020 katika vijiji vya Nyakaboja kata ya Kabita na Maega Kata ya Kalemela.
Uvuvi haram umekuwa changamoto ukanda wa Ziwa Viktoria, hivyo Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya wilaya ya Busega imeanza kupambana na wavuvi wanaotumia vifaa visivyokubalika...
10 years ago
CloudsFM10 Oct
WATU SABA WAFARIKI DUNIA KWA KUTEKETEZWA NA MOTO
Watu saba wameuawa kwa kuchomwa moto ndani ya nyumba katika tukio ambalo nyumba 18 ziliteketezwa na mbili kubomolewa na wananchi waliodai wanawaua wachawi katika Kijiji cha Murufiti, Kasulu, mkoani Kigoma.
Polisi wameeleza kuwa tayari watu 17 wamekamatwa kwa kuhusika kwenye tukio hilo.
Miongoni mwa waliouawa katika tukio hilo lililotokea Jumatatu iliyopita ni John Mavumba (68) na mkewe Elizabeth Kaje 55 ambao pamoja na wenzao walikuwa wakituhumiwa kuwa ni washirikina.
Akizungumza na...
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Ikulu yawakana Pentekoste
SIKU chache baada ya Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kulalamikia mapendekezo ya Bunge Maalumu la Katiba, serikali imesema Baraza hilo halijawasilisha maombi ya kutaka uwakilishi katika bunge hilo....
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Pentekoste walia kubaguliwa
BAADHI ya taasisi za kidini, wanaharakati na watu binafsi, wamepinga vikali uteuzi uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, huku Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste...