Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE JOSHUA NASSARI NA ANANDE NNKO WAMEREMETA KWENYE KANISA LA PENTEKOSTE KILINGA,MERU

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari na Mai Waifu wake Anande Nnko wakishangiliwa kwa shangwe mara baada ya kumeremeta kwao kwenye kanisa la Kipentekoste la Kilinga,Meru jijini Arusha.


"Mmetuona "ni kama ndio maneno yaliyokuwa vichwani mwao maharusi,Joshua Nassari na Anande Nnko wakionesa vyeti vyao vya ndoa. Maharusi wakiwasalimia waumini waliohudhuria ibada ya ndoa yao (hawapo pichani).
KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI NA ANANDE NNKO KANISA LA PENTEKOSTE KALINGA MERU, YAFANA

Msafara wa gari chache majira ya saa 2:30 ulianza safari katika viwanja vya Usa-River ambako gari za maharusi zilikuwa zikipambwa mdogo mdogo zikapanda Kilima zikiwa na maharusi Joshua Nassari na Anande Nnko safari ilikuwa ni kanisa la Kipentekoste la Kilinga,Meru tayari kwa ajili ya Ndoa.…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA MBALIMBALI ZA KUMEREMETA MBUNGE JOSHUA NASSARI NA MKEWE ANANDE NNKO

Maharusi ,Joshua Nassari na Anande Nnko wakiweka pozi kwa ajili ya kuchukuliwa Taswira. Maharusi , Joshua Nassari na Anande Nnko wakiwa na wapambe wao katika pozi la kuchukua Taswira.…

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA ARUMERU JOSHUA NASSARI NA AJALI YA HELKOPTA

Mbunge wa Jimbo la Arumeri Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali ya Helkopta aliyokuwa akiitumia kufanya ziara jimboni kwake hii leo.Habari kutoka Arum,eru zinasema kuwa Helkopta hiyo ilipoteza mwelekeo na kwenda kugonga mti na kunasa juu ya mti huo.

Aidha taarifa hizo zinaeleza kuwa Mbunge huyo kwa Tiketi ya Chadema, na rubani wake walitoka wakiwa wazima na wapo katika Hospitali ya Kanila la Kilutheri ya Selian ya jijini Arusha. 
Father Kidevu Blog inatoa pole kwa Mbunge huyo na Wapigakura...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE JOSHUA NASSARI KUFANYA HARUSI YA ALAIKI KESHO JIMBONI KWAKE

Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Meru Dr Paul Akyoo akifanya maombi kwa Bw Joshua Nassari ,Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki na Bi Anande Nnko wanaotarajia kufunga ndoa Jumamosi hii. Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari akimwimbia mchumba wake Bi Anande Nnko wakati wa sherehe ya Send off iliyofanyika nyumbani kwao na Bi Harusi Mtarajiwa ,Meru. Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari akiwa amekumbatiana na Mchumba wake Bi Anande Nnko muda mfupi baada ya...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE JOSHUA NASSARI AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI WAKIWEMO WA BARA LA AFRIKA

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari akiwa katika picha ya pamoja na Mchungaji Jesse Jackson, Mwanaharakati wa siku nyingi wa Haki na Usawa.Kushoto ni Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani Afrika Kusini (Democratic Alliance) Mbali Ntuli.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa na rais wa Nigeria Goodluck Jonathan .Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa na Waziri mkuu wa Mauritius, Ramgoolam.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari...

 

11 years ago

Michuzi

MASANJA MKANDAMIZAJI ALIVYO WAVUNJA MBAVU WAALIKWA HARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI

Video imepigwa  na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini..

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari. Na Woinde Shizza, Arusha
MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari  anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kutuhumiwa na tukio la kumteka mtendaji wa kata ya makiba. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas alisema kuwa Mhe Nassari  huyu alikamatwa majira ya saa moja usiku ...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE JOSHUA NASSARI AMEPATA AJALI BAADA YA HELIKOPTA ALIYOKUWA AKIITUMIA KUKUMBWA NA DHORUBA

Kwa  taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mbunge Wa Arumeru Mashariki ndugu Joshua Nasary amepata ajali leo jioni akiwa maeneo ya Leguruki.
Kwa taarifa za mwanzo zinasemekana mbunge huyo amenusurika na amepata majeraha madogo lakini mmoja Wa abiria wake kavunjika mguu.Mbunge amekimbizwa katika Hosptali ya Selian na kwa mujibu wa Katibu wa mbunge hajaumia sana ila abiria wawili mmoja anajulikana kwa jina la Eve ambaye ni mmoja wa viongozi wa BAWACHA jimboni kaumia mbavu na mwingine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani