Msako wa ndege waanza ardhini China
China imeanza juhudi za kuitafuta katika ardhi yake ndege ya Malaysia iliyotoweka mwishoni tarehe 8 mwezi Machi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Nov
Waliofukiwa ardhini siku 41 waanza kuona
Na Paul Kayanda, Kahama
HALI za wachimbaji wadogo waliookolewa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo kwa siku 41 katika machimbo ya Nyangarata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, zinaanza kuimarika huku baadhi yao wakianza kuona.
Kwa mujibu wa taarifa za kitabibu zilizotolewa na Hospitali ya Wilaya ya Kahama, wachimbaji hao wameanza kuona ingawa kwa uoni hafifu, lakini kadiri ya siku zinavyokwenda afya zao zitaanza kuimarika.
Akizungumza jana na MTANZANIA, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya...
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Msako wa fisi Geita waanza
IDARA ya Maliasili na Utalii Wilaya za nyang’hwale na Geita kupitia kitengo cha wanyamapori imeanza msako mkali wa kuwaua Fisi ambao siku za hivi karibuni wamegeuka tishio kwa binadamu hususani...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xaQMj3Ex_5c/Xqcn47UEeVI/AAAAAAALoZY/gsSZ7aN8e2AmqHCwq3AcCjqVxblYOF0GgCLcBGAsYHQ/s72-c/FB_IMG_1588006499134-1.jpg)
MSAKO MKALI WA SUKARI WAANZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-xaQMj3Ex_5c/Xqcn47UEeVI/AAAAAAALoZY/gsSZ7aN8e2AmqHCwq3AcCjqVxblYOF0GgCLcBGAsYHQ/s1600/FB_IMG_1588006499134-1.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/FB_IMG_1588006506529.jpg)
**********************************
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu akiambatana na Kamati ya ulinzi na usalama ya Tarafa wameongoza msako mkali wa kukagua utekelezaji wa bei elekezi ya sukari iliyotolewa na Serikali hivi karibuni.
Gavana Shilatu alipita kwenye maduka ya jumla na ya rejareja kuona namna Wafanyabiashara wanavyouza sukari ambapo kwa bei ya rejareja hawatakiwi kuuza zaidi ya bei ya Tsh. Elfu tatu (3,000/=) kwa kilogram moja na kukuta maduka...
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Msako mkali waanza mauaji ya Senzo Afrika Kusini
Na Mwandishi wetu
Polisi nchini Afrika Kusini wameanzisha msako mkali dhidi ya mtu aliyempiga risasi na kumuua mlinda mlango na nahodha wa timu ya taifa hilo Senzo Meyiwa(pichani).
Ili kufanikisha uchunguzi huo ufanyike kwa urahisi na haraka, polisi wameahidi zawadi nono ya randi 250,000 sawa na dola za kimarekani 14,000 hadi $23,000 kwa yeyote atakayetoa taarifa na kufanikisha kukamatwa kwa mtu huyo.
Taarifa za jeshi la polisi zinasema kuwa watu wawili waliingia ndani na mmoja alibaki nje...
11 years ago
Michuzi04 Jul
NEWS ALERT: Msako mkali waanza Arusha baada ya Sheikh wa msikiti wa Qiblatan kujeruhiwa kwa bomu
Kutoka Arusha taarifa zinasema msako mkali unaendelea kufuatia shambulio la bomu la mkono alilotupiwa Sheikh wa msikiti wa Qiblatan Sood Ally Sood (37) uliopo eneo la Kilombero jijini Arusha wakati akila daku.Kwa mujibu wa taarifa hiyo imedaiwa kuwa Sheikh huyo amejeruhiwa sehemu mbalimbali ikiwemo miguu yake yote miwili sehemu za mapajani pamoja na Kifuani na kupoteza baadhi ya vidole vya miguu yote miwili.Mbali na Sheikh huyo pia kuna mtu mwingine aliyekuwa nyumbani kwake hapo...
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
Uhamiaji waanza msako wa nyumba kwa nyumba
IDARA ya Uhamiaji inaanza msako wa nyumba kwa nyumba kubaini wahamiaji haramu kwa kuchukua taarifa za wanandoa ambao wameolewa na raia wa kigeni ili kubaini wahamiaji hao. Hayo yalisemwa jana...
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Ndege wa ajabu waanza kuteketezwa Bukoba
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Uchumi wa China waanza kushuka
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Mafisadi waanza kujadiliwa China