Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchumi wa China waanza kushuka

Wataalam wa masuala ya uchumi wamesema kuwa China inakabiliwa na wimbi la kushuka kwa ukuaji wa uchumi wa taifa hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uchumi wa Mwakaleli waanza kufufuka upya

Uchumi wa wakazi wa Bonde la Mwakaleli, mkoani Mbeya, umeanza kufufuka baada ya wakazi wake kuanzisha kilimo cha viazi mviringo na kujishughulisha na kazi za ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara

Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara View this document on Scribd

 

9 years ago

Mwananchi

Mafisadi waanza kujadiliwa China

Zaidi ya maofisa wa kisiasa 80 wa kigeni na wasomi wameanza kukutana mjini Beijing, China kujadili kampeni ya sasa dhidi ya ufisadi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Msako wa ndege waanza ardhini China

China imeanza juhudi za kuitafuta katika ardhi yake ndege ya Malaysia iliyotoweka mwishoni tarehe 8 mwezi Machi

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa kamati ya watalaam wa fedha, uchumi na mipango wa nchi wanachama AU na ECA waanza Addis Ababa — Ethiopia

DSC_0049

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Hamis H. Mwinyimvua (Kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mh.Naimi Azizi wakiwaa kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Watalaamu wa masuala ya Fedha Afrika unaofanyika Mjini Addis Ababa – Ethiopia.

DSC_4687

Baadhi ya wajumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 8 wa Watalaam wa masuala ya Fedha – Afrika wakijadili jambo wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa ‘United Conference Centre’ Addis Ababa. Kulia ni Nd.Mbayani Saruni na Kushoto ni...

 

9 years ago

BBCSwahili

China yaimarisha Uchumi wake

Uchumi wa Uchina umeimamarika kwa asilimia 6.9 katika robo ya tatu ya mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

China na kuyumba kwa uchumi wa dunia

Agosti 24, mwaka huu, siku ya Jumatatu, soko la hisa la Shanghai liliporomoka kwa asilimia 8.5. Kuanguka kwa soko la hisa la China kulisababisha masoko mengine ya hisa ya Asia, Ulaya, Marekani ya Kaskazini, Marekani ya Kusini na Afrika ya Kusini nayo yaporomoke.

 

10 years ago

Mwananchi

Maendeleo ya uchumi wa China, Tanzania tujifunze nini? — 1

 Katika kipindi cha miaka 34, toka 1979 hadi 2012 Jamhuri ya Watu wa China imefanya maajabu ambayo hayajapata kutokea kwa nchi kubwa kukuza uchumi kwa wastani wa asilimia 10 kwa mwaka, kwa zaidi ya miaka 30.

 

9 years ago

Mwananchi

Raia wa China aunganishwa kesi ya uhujumu uchumi

Raia wa China, Li Ling Ling ameunganishwa katika kesi ya uhujumu uchumi kwa  kuchora michoro ya kihalifu ya kusafirisha nyara za serikali zenye thamani ya Sh 267.4 milioni na matumizi mabaya ya madaraka inayowakabili maofisa usalama wanne wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani