China na kuyumba kwa uchumi wa dunia
Agosti 24, mwaka huu, siku ya Jumatatu, soko la hisa la Shanghai liliporomoka kwa asilimia 8.5. Kuanguka kwa soko la hisa la China kulisababisha masoko mengine ya hisa ya Asia, Ulaya, Marekani ya Kaskazini, Marekani ya Kusini na Afrika ya Kusini nayo yaporomoke.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Ufaransa yakanusha uchumi wake kuyumba
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Sababu za Mkoa wa Mbeya kuyumba uchumi wake
10 years ago
Habarileo15 Jun
‘Kuyumba kwa ndoa kunavuruga maadili’
MIGOGORO ya mara kwa mara na kuyumba kwa ndoa nyingi, kumetajwa kama sababu kubwa inayochangia kuporomoka kwa maadili nchini, hali inayochangia kuongezeka kwa matukio yanayomchukiza Mungu.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-oU_EdyLSXU8/VnMRrop7uiI/AAAAAAAINKM/oIz9IctoBds/s72-c/51bd7d1d-3b49-4631-8d4c-6ba5a0fd3c87.jpg)
Raia wanne wa China wahukumiwa kutumikia miaka 20 jela kila mmoja kwa Uhujumu uchumi mkoani Mbeya
![](http://4.bp.blogspot.com/-oU_EdyLSXU8/VnMRrop7uiI/AAAAAAAINKM/oIz9IctoBds/s640/51bd7d1d-3b49-4631-8d4c-6ba5a0fd3c87.jpg)
Washatkiwa wanne wa China wakipanda karandinga baada ya kuhukumiwa kutumikia jela miaka 20 kila mmoja na kutakiwa kulipa faini ya Zaidi ya shilingi bilioni 10 baada ya kukutwa na makosa matatu ya kuhujumu uchumi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-XuLg6CxUePA/VnMRuTlLcqI/AAAAAAAINKk/fFIfOSEFppY/s640/ndovu.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-A7iUsl_b1e8/VnMSFW5pJzI/AAAAAAAINKs/AD5xUX0K2bM/s640/ddc07c45-ec55-4001-937e-6015ed59afe3.jpg)
10 years ago
MichuziDAWA ZA KUZUIA KUYUMBA KWA NDOA ZAWEKWA WAZI.
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Raia wanne wa China wahukumiwa miaka 20 jela kwa kosa la kuhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mbeya
![](http://4.bp.blogspot.com/-1BIq66NTZYU/VnMFlIVetMI/AAAAAAAAVPM/RTUFVaP4vK4/s640/ndovu12.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZMk73Npq4JY/VnMFkHdt44I/AAAAAAAAVPE/6-HoGPr4IZA/s640/ndovu.jpg)
Na Ezekiel Kamanga, Mbeya.Jamiimojablog
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mbeya imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wanne wa China na kulipa faini baada ya kukutwa na hatia kwa makosa matatu ikiwemo uhujumu uchumi kwa kukutwa na pembe za faru.
Kabla ya kuanza kusoma hukumu Hakimu mfawidhi Michael Mteite alianza kuwashukuru Mawakili wa Serikali na...
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Ujumbe wa Tanzania wakutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi kujadili uchumi wa Tanzania
Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu...
9 years ago
BBCSwahili19 Oct
China yaimarisha Uchumi wake
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Uchumi wa China waanza kushuka